#COVID19 Rais Samia: Ukipata COVID-19 kupona au kufa ni 50 kwa 50

#COVID19 Rais Samia: Ukipata COVID-19 kupona au kufa ni 50 kwa 50

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kupata chanjo ya CORONA kwa kuwa tiba ya maradhi hayo hugharimu taifa.

Pia amesema ukipata corona kupona au kufa ni hamsini kwa hamsini, na kuna uwezekano mkubwa wa mtu kufariki.

Ametoa wito kwa watanzania kupata chanjo ili kuepuka vifo.
 
Yale yale
E65OMZ3WEAkIWlV.jpg
 
Alipokuwa na Mwendazake hata barakoa alikuwa havai, alibinafsisha akili zake?

Akili zimerudi baada ya aliyemshikia akili kufa?

Wanafiki hawaingii mbinguni!
Unawezaje kwenda kinyume na BOSS wako?!!!

Kidogo hebu tujitoe katika UROBOT na kuvaa UBINADAMU....🤣🤣
 
Unawezaje kwenda kinyume na BOSS wako?!!!

Kidogo hebu tujitoe katika UROBOT na kuvaa UBINADAMU....🤣🤣
Kweli kabisa R.I.P Kijazi, Injinia mzima msomi unaambiwa Corona haipo na unaamini.
 
Yey mwenyew samia katuingiza mjini. Ametrick kama amechoma kumbe feki, kamera zimemnasa mchomaji
 
Back
Top Bottom