#COVID19 Rais Samia: Ukipata COVID-19 kupona au kufa ni 50 kwa 50

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kupata chanjo ya CORONA kwa kuwa tiba ya maradhi hayo hugharimu taifa.

Pia amesema ukipata corona kupona au kufa ni hamsini kwa hamsini, na kuna uwezekano mkubwa wa mtu kufariki.

Ametoa wito kwa watanzania kupata chanjo ili kuepuka vifo.
 
Alipokuwa na Mwendazake hata barakoa alikuwa havai, alibinafsisha akili zake?

Akili zimerudi baada ya aliyemshikia akili kufa?

Wanafiki hawaingii mbinguni!
Unawezaje kwenda kinyume na BOSS wako?!!!

Kidogo hebu tujitoe katika UROBOT na kuvaa UBINADAMU....🤣🤣
 
Huyu si ndo enzi za Mwendazake alisema Mataifa ya nje yana cha kujifunza kutoka kwetu namna Magufuli anavyopambana na Corona?
 
Unawezaje kwenda kinyume na BOSS wako?!!!

Kidogo hebu tujitoe katika UROBOT na kuvaa UBINADAMU....🤣🤣
Kweli kabisa R.I.P Kijazi, Injinia mzima msomi unaambiwa Corona haipo na unaamini.
 
Yey mwenyew samia katuingiza mjini. Ametrick kama amechoma kumbe feki, kamera zimemnasa mchomaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…