MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Umejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
Bangi mbaya sana . Unafikiria raisi akialika waru ikulu yeye ndiyo anatoa kadi za mialiko kama mnavyoalikana kwenye arusi? Kuna watu wa protocol amka acha kuchukoa watu kwa petty issues za kunywa juice ikulu. Haya sasa viongozi wa simba walikuwepoUmejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
Ishiiii! Basi sawa msinipe kura,itanipa tume ya uchaguzi kura za kutosha ushindi wa kishindo.Umejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
Halafu wewe Ushimen wewe, Mwamnani? 😂😂Maza msela wa zamani....😜 Eti, Mwamnyeto namuomba mbele kabisa kwenye meza ya High Table...🤣
Kura zipi unazoongelea wewe? You're so lowUchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
Kilicho nichekesha ni kwanini Mwamnyeto pekee ndio aitwe mbeke kabisa..🤣🤣Halafu wewe Ushimen wewe, Mwamnani? 😂😂
Huyu hakuziona kura za mabegi meusi,Unaamini katika kura[emoji3][emoji3]
Alikutangazia Wewe peke yako kati ya Watanzania Milioni 61 tulioko au?Mbona mama alishasema 2025 hatagombea?
Ana Mvuto wa Kimahaba kwa Mwanamke yoyote wa Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.Kilicho nichekesha ni kwanini Mwamnyeto pekee ndio aitwe mbeke kabisa..🤣🤣
Labda kura za kiongoz wa ukoo, kama unafikir wanategemea kura zenu ndio watangazwe washindi bas imekula kwako mazima!!!Umejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
Team captainKilicho nichekesha ni kwanini Mwamnyeto pekee ndio aitwe mbeke kabisa..🤣🤣
Aliwatangazia wananchi fc juzi walipoenda ikulu kudemka.Alikutangazia Wewe peke yako kati ya Watanzania Milioni 61 tulioko au?
Hapo na mtetea.kwani kawafanyia Nini baya? Amekuwa fair toka michuano imeanzaUmejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
Kura zenu hazimpeleki Ikulu hata wewe unajua Hilo vizuriUmejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.