Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Kama ambavyo imeonekana Mh. Rais amekua akihubiri watu kutendewa haki,ameonekana kuwa kivutio kwa makundi yote ya kijamii. Amekubalika hata na wanasiasa wa upinzani na sasa ajenda yao imebakiatu kuwa ni katiba mpya.
Mh. Rais amemuweka waziri wa TAMISEMI ambaye ni mzugaji hamaanishi juu ya yale anayoyasema.
Ummy hivi jana amemsimamisha mhandisi aliyekua anasimamia ujenzi pale maeneo ya Makumbusho.
Kama kweli Ummy angekua mtenda haki angeanza na mkurugenzi wake wa Tanga Jiji ambapo ni mfujaji wa mali za umma.
Yupo afisa elimu taaluma idara ya sekondari ambaye alibainisha wizi wa fedha za ujenzi zaidi ya milioni 14,uliofanywa na mkuu mmoja wa shule.
Afisa huyo amekua akifanya kazi katika mazingira magumu akaamua kuikimbia ofisi na sasa yupotu nyumbani. Ummy anayajua yote hayo. Kwanini hawaundii tume huru mkurugenzi na afisa elimu wake? Ummy Mungu anaijua dhamira yako kwamba umejawa na uonevu.
Mkuu huyo amesema amempa mkurugenzi hela na amegawana na afisa elimu. Ummy anajua na TAKUKURU wanajua lakini anawabana wengine kwake kumeoza.
Je, Ummy kwanini hachukui hatua huyu afisa aliyenyanyasika akaacha ofisi arudi ofisini?
Ummy amechangia madarasa katika shule kadhaa lakini huyo mkuu wa shule ambaye lake ni moja na mkurugenzi na afisa elimu,wamelila darasa hilo. Ummy anaumiatu moyoni hasemi.
Ofisini kwa afisa elimu kuna mtumishi mmoja hana cheo bali nirafikitu wa afisa elimu na alikuja na afisa elimu wakitokea Muheza, kwani Tanga hakuna shida ya walimu mpaka mtu akakaetu ofisini kwa afisa elimu bila cheo?Ummy wa TAMISEMI anajua.
Wiki kadhaa zilizopita wapo manaibu makatibu wa tume ya utumishi wa walimu (TSC) wa Tanga na Mkinga ambao walikua wanaiba hela kupitia akaunti zao. Karibu wa Mkinga amekua signatory Tanga na wa Tanga amekua signatory Mkinga.
TSC makao makuu wameleta timu yao lakini hakuna jipya. Je, wewe Ummy upo kwaajili ya halmashauri nyingine lakini mkoani kwako hushuhuliki?
Mh. Rais, Ummy hafai kuwa waziri kwani hatendi haki bali amekua rafiki wa wabadhirifu hivyo atakutia doa.
Mama ninashauri Ummy azinguliwe