Rais Samia una Mkataba na Watanzania milioni 60 na sio wateule wako wasiozidi 300. Chukua hatua kabla hujachelewa

Rais Samia una Mkataba na Watanzania milioni 60 na sio wateule wako wasiozidi 300. Chukua hatua kabla hujachelewa

we rais unamchukuliaje, hivi unafikiri ni km mamako? Uwe na adabu na uelewa wa nafasi ya urais
Rais atoke hadharani aongee,anaogopa nini? Wengine wote waliopita walikuwa wanaongea Sasa yeye anajificha Kwa nini?

Ni Kwa faida yake sio yangu
 
Aliletewa power of attorney usiku baada ya kunywa margarita akasaini bila kusoma kumeandikwa nini
 
1. Sasa ni wazi na hakuna ubishi tena, kuwa Mama Samia Suluhu Hassan zinakuja kelele kubwa sana kukuzomea kuwa, umeshindwa kuongoza nchi hii...!

2. Ni dhahiri shahiri kuwa, wewe Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT unawaogopa kuwawajibisha wateule wako wanaoshindwa kutenda wajibu wao na ambao umewatengeneza/umba kwa mikono yako mwenyewe. Inashangaza kweli kweli kuwa, chungu kinamgomea mfinyanzi alichokifinyanga..!

3. Na ni dhahiri shahiri kuwa, Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT pengine hutambui ama hujui mamlaka makubwa ya kikatiba uliyonayo kama mkuu wa nchi na serikali na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama ya nchi hii. Na kwamba hupaswi kuogopa bali unapaswa kuyatumia kwa haki na ukamilifu wake kwa manufaa ya watanzania nmilioni 60..!

4. Tunajuliza, hivi ina wewe Rais Samia Suluhu Hassan huelewi kabisa kuwa kuna matatizo makubwa karibu kila sehemu ya nchi hii na wananchi wanapata shida ambazo ni kwa sababu ya hujuma au uzembe tu wa wa baadhi ya wateule wako kushindwa kutekeleza wajibu wao?

Mathalani;
✍️Hivi ina maana Rais huelewi kabisa kuwa kwa sasa kuna mgawo wa umeme usio na sababu wala maelezo yoyote unaendelea kimya kimya nchini kote na kutesa watu bila sababu? Hujui kuwa hili ni tatizo la kutengenezwa na wateule wako kwa nia ya kukuhujumu?

✍️Hivi ina maana Rais Samia Suluhu Hassan huelewi kabisa kuwa kwa takribani wiki mbili au tatu sasa kuna tatizo la kutengenezwa la uhaba wa mafuta ya petrol nchi nzima kiasi cha kusababisha mgawo wa petrol kwenye vituo vya mafuta hayo na kuleta mateso na kuathiri shughuli za kijamii na kiuchumi za Kila siku za wananchi?

✍️Hivi ina maana wewe Rais Samia Suluhu Hassan hujui au huelewi kabisa kuwa ahadi yako ya nyongeza ya mishahara na kurudisha "salary annual increments" kwa watumishi wa umma wote uliyoitoa mwenyewe kwa kinywa chako siku ya MEI MOSI mwaka huu 2023 uwanja wa Jamhuri - Morogoro haijatekelezwa na wasaidizi wako kwa makusudi kabisa lengo likiwa kukujumu na kukuondolea credibility na imani kwa umma ili uonekane ni Rais mwongo usiyetembea katika maneno ya ahadi zako?

✍️Na hivi ina maana Rais Samia Suluhu Hassan hujui au huelewi kabisa kuwa hata hii skendo ya mkataba wa DP World umeingizwa chaka na wasaidizi na wateule wako mwenyewe uliowaamini ukidhani ni waaminifu? Hujui kuwa limefanyika hilo kwa lengo la kukufanya uonekane hufai na kwamba wewe ni Rais unayeuza rasrimali za Tanganyika na kuacha za kwenu Zanzibar..?

SASA; Kama unayajua haya yote, mbona umenyamaza kimya? Kwanini usitoke hadharani ukawaambia tatizo ni nini kisha kama kiongozi wetu mkuu wa nchi ukatoa uelekeo wa nchi? Kwanini uko kimya tu kana kwamba nchi haina kiongozi?

TUNAJUA, kuwa hawahawa wateule wako waliokuingiza kwenye matatizo haya, ndio pia wanaokushauri ukae kimya Kwa sababu kelele zinazosikika nchi nzima ni za chura ambazo haziwezi kuzuia ng'ombe kunywa maji bwawani. Unanganywa mama yetu. Amka toka usingizini. Chukua nafasi yako kama Rais..!

Nimeonya, nimemaliza. Usije kujuta kusema, Yamekuwaje mambo haya?
Kiburi ndio kimatamalaki kwenye utawala ambao unaweza kuanguka wakati wowote na kesi akaijibu yeye pekee 'without collective responsibility'
 
Hii nchi iko kwenye Autopilot.

Ni kwa sababu ya Raia wapole pia na kila kitu wao ni POA.
 
1. Sasa ni wazi na hakuna ubishi tena, kuwa Mama Samia Suluhu Hassan zinakuja kelele kubwa sana kukuzomea kuwa, umeshindwa kuongoza nchi hii...!

2. Ni dhahiri shahiri kuwa, wewe Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT unawaogopa kuwawajibisha wateule wako wanaoshindwa kutenda wajibu wao na ambao umewatengeneza/umba kwa mikono yako mwenyewe. Inashangaza kweli kweli kuwa, chungu kinamgomea mfinyanzi alichokifinyanga..!

3. Na ni dhahiri shahiri kuwa, Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT pengine hutambui ama hujui mamlaka makubwa ya kikatiba uliyonayo kama mkuu wa nchi na serikali na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama ya nchi hii. Na kwamba hupaswi kuogopa bali unapaswa kuyatumia kwa haki na ukamilifu wake kwa manufaa ya watanzania nmilioni 60..!

4. Tunajuliza, hivi ina wewe Rais Samia Suluhu Hassan huelewi kabisa kuwa kuna matatizo makubwa karibu kila sehemu ya nchi hii na wananchi wanapata shida ambazo ni kwa sababu ya hujuma au uzembe tu wa wa baadhi ya wateule wako kushindwa kutekeleza wajibu wao?

Mathalani;
[emoji3578]Hivi ina maana Rais huelewi kabisa kuwa kwa sasa kuna mgawo wa umeme usio na sababu wala maelezo yoyote unaendelea kimya kimya nchini kote na kutesa watu bila sababu? Hujui kuwa hili ni tatizo la kutengenezwa na wateule wako kwa nia ya kukuhujumu?

[emoji3578]Hivi ina maana Rais Samia Suluhu Hassan huelewi kabisa kuwa kwa takribani wiki mbili au tatu sasa kuna tatizo la kutengenezwa la uhaba wa mafuta ya petrol nchi nzima kiasi cha kusababisha mgawo wa petrol kwenye vituo vya mafuta hayo na kuleta mateso na kuathiri shughuli za kijamii na kiuchumi za Kila siku za wananchi?

[emoji3578]Hivi ina maana wewe Rais Samia Suluhu Hassan hujui au huelewi kabisa kuwa ahadi yako ya nyongeza ya mishahara na kurudisha "salary annual increments" kwa watumishi wa umma wote uliyoitoa mwenyewe kwa kinywa chako siku ya MEI MOSI mwaka huu 2023 uwanja wa Jamhuri - Morogoro haijatekelezwa na wasaidizi wako kwa makusudi kabisa lengo likiwa kukujumu na kukuondolea credibility na imani kwa umma ili uonekane ni Rais mwongo usiyetembea katika maneno ya ahadi zako?

[emoji3578]Na hivi ina maana Rais Samia Suluhu Hassan hujui au huelewi kabisa kuwa hata hii skendo ya mkataba wa DP World umeingizwa chaka na wasaidizi na wateule wako mwenyewe uliowaamini ukidhani ni waaminifu? Hujui kuwa limefanyika hilo kwa lengo la kukufanya uonekane hufai na kwamba wewe ni Rais unayeuza rasrimali za Tanganyika na kuacha za kwenu Zanzibar..?

SASA; Kama unayajua haya yote, mbona umenyamaza kimya? Kwanini usitoke hadharani ukawaambia tatizo ni nini kisha kama kiongozi wetu mkuu wa nchi ukatoa uelekeo wa nchi? Kwanini uko kimya tu kana kwamba nchi haina kiongozi?

TUNAJUA, kuwa hawahawa wateule wako waliokuingiza kwenye matatizo haya, ndio pia wanaokushauri ukae kimya Kwa sababu kelele zinazosikika nchi nzima ni za chura ambazo haziwezi kuzuia ng'ombe kunywa maji bwawani. Unanganywa mama yetu. Amka toka usingizini. Chukua nafasi yako kama Rais..!

Nimeonya, nimemaliza. Usije kujuta kusema, Yamekuwaje mambo haya?
Raisi kilaza , kikwete alisema saa 100 anaongoza nchi vizuri ,ni mtulivyo na si mkurupukaji ngoja tuone
 
Ameshindwa kuongoza nchi, ameshindwa kujibu maswali magumu ya wale anaowaongoza kuhusu mkataba wa hovuo wa bandari.

Matatizo hata kama yamekuwepo miaka yote, lakini viongozi waliokuwepo walikuwa wakisimama na kuyakabili.

Huyu Samia kwanza alituambia ameziba masikio, lakini sasa baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya, anakimbia nchi badala ya kutujibu, hajielewi.

Huu ushauri wa kipuuzi anapewa na msoga, aliyekuwa akikimbia wakati wake mambo yakiwa magumu.
Aliwaambia pia wale kwa urefu wa kamba yao
 
Back
Top Bottom