Rais Samia una Mkataba na Watanzania milioni 60 na sio wateule wako wasiozidi 300. Chukua hatua kabla hujachelewa

we rais unamchukuliaje, hivi unafikiri ni km mamako? Uwe na adabu na uelewa wa nafasi ya urais
Rais atoke hadharani aongee,anaogopa nini? Wengine wote waliopita walikuwa wanaongea Sasa yeye anajificha Kwa nini?

Ni Kwa faida yake sio yangu
 
Aliletewa power of attorney usiku baada ya kunywa margarita akasaini bila kusoma kumeandikwa nini
 
Kiburi ndio kimatamalaki kwenye utawala ambao unaweza kuanguka wakati wowote na kesi akaijibu yeye pekee 'without collective responsibility'
 
Hii nchi iko kwenye Autopilot.

Ni kwa sababu ya Raia wapole pia na kila kitu wao ni POA.
 
Raisi kilaza , kikwete alisema saa 100 anaongoza nchi vizuri ,ni mtulivyo na si mkurupukaji ngoja tuone
 
Aliwaambia pia wale kwa urefu wa kamba yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…