Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine utakuwa na unatawaliwa na chuki za kidini. Hakuna aliye mkamilifu lakini katika muda mfupi amejipambanua kuwa ni kiongozi mpenda haki na anayesikiliza wengine wanasema nini. Tumpe muda atafanya makubwa zaidi.Mimi sina imani na huyu mama kabisa sijui kwanini..yaani hata afanye chochote naona kama boko tu.
Hizo nafasi ni kwa makada wa CCM tu hata kama ni wahalifu wanakula shavu tuNinashauri ni wakati wa serikali kufikiria namna nzuri kufanya teuzi mbalimbali katika nafasi za serikali kwa kuzingatia uzoefu wa Kazi serikalini, uadilifu ili kutengeneza uzalendo.
Kwa mfano haileti taswira nzuri kumuacha katibu wa tarafa au maafisa wameoshika nyadhifa mbalimbali ktk Idara zao wilayani au mikoani aliekaa kazini miaka 15 na zaidi serikalini mwenye elimu ya kutosha wengine wanawazidi hata elimu Ma DC ma Das na Ma RC lkn ukapuuza utumishi wao ukatoa watu mtaani kuja kuwa Ma DC, DAS, RC’s, RAS etc.
Zamani Kila mfanyakazi alijua iwapo atahudumu kwa mda mrefu na uadilifu angefika katika nafasi ya juu kwa bidii yake ya Kazi uadilifu na kujituma, na hiyo ndio kulikozaa uzalendo hapo zamani ma Afisa utumishi, makatibu tarafa, maafisa maendeleo, kilimo, Afya, Walimu, walipanda nafasi za juu za kiselikali na hiyo ilijenga kuwa na viongozi wengi wenye uadilifu uzalendo na kupenda nchi sbb walipanda nafasi kwa mafaili yao na si kwa majina yao.
Maafisa wakuu wa idara mbalimbali kutoka sekta tofauti mfano elimu, Afya, kilimo, maendelo, utawala iwe wilayani au mkoani wenye miaka 20 ktk kazi, uzoefu na weledi serikalini ndoto zao nao ni kushika nafasi za juu ktk wilaya au mkoa unapowaletea mtu ambae hajawahi kuwa mtumishi huwaongezei tija ila unawavunja moyo na hiyo inashusha uzalendo wa nchi na tija kwenye Kazi zao, Hawa walitegemea miongoni mwao ndio atakaepanda na huo ndio utaratibu wa huko nyuma.
Mfumo huu uangaliwe upya kwa nini mfano makatibu tarafa na maafisa wengine wa wilaya wasipande kuwa Ma DAS na ma DC na wakurugenzi wa halmashauri halafu hao wapya nao wakaanzia chini kupata uzoefu na kupimwa huko chini na kujifunza kujua mifumo ya serikali inafanyaje Kazi kuanzia chini. Huko nyuma hatukuwahi kuona Ma DC ma Ma RC wakivunja maadili sbb walitokana na mfumo mzuri vyeo havikuwapa ukichaa kwani walipanda navyo polepole, hivyo waliheshimu sana utu na maadili ya Kazi na miiko ya kazi zao.
Zamani watu waioshika nafasi hizo Walionekana ni watu wenye heshima iliotukuka na wazalendo kweli kweli na Jamii ziliwaheshimu sana ila leo jamii inaziona nafasi hizo kama ni zakupewa kwa wateule fulani waliokosa fursa mahali pengine.
Na shauri serikali ianze marekebisho kwa Kurekebisha hili kwenye mkeka wa MA DAS iwapo kutakuwa na mabadiliko kwenye nafasi hizo.
Umeongea hoja ya maana mno!Ninashauri ni wakati wa serikali kufikiria namna nzuri kufanya teuzi mbalimbali katika nafasi za serikali kwa kuzingatia uzoefu wa Kazi serikalini, uadilifu ili kutengeneza uzalendo.

Chuki zitakuua.Hakuna Rais hapo nchi ipo ipo tu Mungu atusaidie Watanzania.
By the way ni matakwa ya Mhe. Raisi kumteua yeyote anaeona atamsaidia, sawasawa ana Phd au hana.Kuchanganya kama ulivyosema ni sawa,lakini kumchukua PHD holder unaweka kwenye rank mmoja na muigizaji wa bongo movie kwa maoni yangu sio sahihi
Watumishi wa umma si walengwa kwa nafasi za RC, DC ila line ya utumishi wa umma inaruhusu uteuzi katika nafasi za ukatibu mkuu, DAS, DED na ukuu wa taasisi za umma. Tuendelee kuamini mama yetu Rais Samia atarudi kwenye misingi hiyo iliyotumika awamu ya kwanza hadi ya tatu. Kundi hili muhimu lisiachwe bila kulitumia ipasavyoNinashauri ni wakati wa serikali kufikiria namna nzuri kufanya teuzi mbalimbali katika nafasi za serikali kwa kuzingatia uzoefu wa Kazi serikalini, uadilifu ili kutengeneza uzalendo.