Rais Samia usiache kusoma ukumbusho huu

Rais Samia usiache kusoma ukumbusho huu

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Salaam kwako!

Mwaka 2015 punde baada ya Hayati Rais Pombe Magufuli kushika madaraka alianza vizuri kwa kutekeleza/MADAI ya upinzani (CHADEMA) kwa kiasi na kasi kubwa sana.

- Kufuta baadhi ya desturi za kitaifa/chama ambazo zilifanywa na watangulize wake kwa mfano sherehe za uhuru(akapongezwa)

- kufatilia kwa umakini na kukemea watumishi wa umma na chama kwa ujumla ili kuleta tija kwa taifa mfano Dec(safari ya kushtukiza B.O.T) pia alipongezwa.

- kuanzisha na kutoa misaada kwa wananchi lengo kuleta ukaribu serikali kuu na wananchi wake pia kuweza kuwafikia zaidi watu wa hali ya chini(alidhihakiwa na kusemwa). Mfano kupeleka kipimo cha mionzi Muhimbili nakumbuka hapa ndipo tafrani ilizuka CHADEMA wakaanza kusema Rais anatekeleza Sera za upinzani.

- Rais Samia Hassani hakuna mkamilifu ila kumbuka kuwa Magufuli alikuwa kama wewe mpaka aliamua kuwafokea wanachama wenzake ili kuwaridhisha upinzani lakini hawa jamaa ni unpredictable hawaeleweki kabisa unaweza kuwapa katiba mpya wakaja kulalamika watu mnawapachika wenyewe kwenye usimamizi wa uchaguzi.

Mwisho Tanzania kubadilisha katiba na kuunda tume huru ya katiba bado kabisa hivyo sizani kama tuna umuhimu huo wa kulifanya jambo hili haraka,bado tujitafakari katika hili kabla ya kuruka step tafadhali wafanye wanawake wenzako wajivunie usije kuharibu nchi kwa kusikia na kutenda kila unachosikia.

Shukurani

Full stop.
 
nifikiri ulishapona wehu, kumbe bado
 
Back
Top Bottom