Rais Samia usicheke na nyani

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia.

Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua.

Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako.

UPDATE
Tulisema na yameshaanza kutokea
-Gwajima anamtunishia msuli Mwenyekiti wake wa CCM
-Pole pole na kwa mbali anaonyesha kutomjali Mwenyekiti wake kwa kaui binafsi tata.
-Mbowe inaelekea kashughulikiwa na Team Mwendazake

etc etc
 
Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia.

Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua.
Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako.
Kwakinyakyusa tunasena 'not any idea is born perfect give a chance to grow ' or if you do not know where you are going any road will take you there
 
Jini magufuli linakusumbua wewe!
 
Peoples wenyewe ni Wa Mikwara mbuzi.....! Mama Endelea Kuupiga Mwingi..
 
CDM ni hopeless, yaani mnafikiria mtamtoa Gaidi Mbowe kwa kumfitini dhidi ya wasaidizi wake, mkakati mfu.
Update: Gaidi Mbowe amelala pembeni ya kunguni saivi, ratiba ya Segerea baada ya saa 12 jioni ni kulala na kunguni 😁.
 
Kwakinyakyusa tunasena 'not any idea is born perfect give a chance to grow ' or if you do not know where you are going any road will take you there
Kwani ulivhoongea ni kinyaki au kiingereza?
Nasikia spoon mnaita supuni.
 
Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia.

Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua.
Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako.
Mnataka mama awe dikiteta?
 
Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia.

Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua.
Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako.
mama yako anaitwa nani vile? Samia?
 
Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia.

Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua.
Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako.
Wa muupstage kwa lipi? Shida yenu kujitekenya wenyewe. Mama anaongoza serikali ya chama cha mapinduzi iliyoingia madarakani kwa kura za magufuli. Kasema yeye na magufuli ni kitu kimoja. Sijui kwa nini nyumu hawaelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…