Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #21
Kura za Magufuli zimeishia Chato.Wa muupstage kwa lipi? Shida yenu kujitekenya wenyewe. Mama anaongoza serikali ya chama cha mapinduzi iliyoingia madarakani kwa kura za magufuli. Kasema yeye na magufuli ni kitu kimoja. Sijui kwa nini nyumu hawaelewi.
Soma tena na tafakari kwa makini.Nyani ni akina nani?
Kupitisha hukumu opposition ni nyani basi huna objectivity kwa ushauri wako mufilisi uliompa huyo dikteta
Madikteta ni madikteta tu
Kuna njiti mahali inachezewa,utani inawasha msitu....ngoja Mbowe afe muone!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio maana mbowe alitaka kujigeuza nyani na mama hajacheka naye. Ashakusikia.
tuko pamoja.Hilo halina ubishi!
Acha upotoshaji na uongo wenye giza la kichawiKwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia.
Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua.
Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako.
UPDATE
Tulisema na yameshaanza kutokea
-Gwajima anamtunishia msuli Mwenyekiti wake wa CCM
-Pole pole na kwa mbali anaonyesha kutomjali Mwenyekiti wake kwa kaui binafsi tata.
-Mbowe inaelekea kashughulikiwa na Team Mwendazake
etc etc
Unachotetea mbona ni dhahiri!Acha upotoshaji na uongo wenye giza la kichawi
Avatar yako ndiyo inasadifu wewe ni muumini wa ndumba (superstitious belief if I can put it in this way to clearly discern the concept)Unachotetea mbona ni dhahiri!
Au hujamsikia Gwajima na Pole pole?
Lakini sitashangaa kama unahusika.
Usibadili mada mkuu mnaoguswa ni wengi.Avatar yako ndiyo inasadifu wewe ni muumini wa ndumba (superstitious belief if I can put it in this way to clearly discern the concept)
Sasa kama huelewi kosa la nani?Umeandika hot airs ulizoandika
Kusoma na kuelewa ni kazi yetu watazamaji,cha ajabu unatuingilia eti unatuelekeza jinsi ya kusoma na kuelewa ulichoandika wewe mwenyewe?
Yaani unatufundisha kazi yetu sisi wasomaji?
Wewe umeandika,then chapa lapa,kuelewa ni kazi yetu sisi,usitufundishe jinsi ya kuelewa ulichoandika,ni kutuingilia!
Ni dhahiri nyie ndio wale mnaoishi na utaratibu wa mashetani ya Mwendazake.Nani kakwambia sielewi?
Sielewi according to wewe unavyotaka?
Naelewa navyotaka mimi,wewe ni mtoa mada,uelewa ni wa kwetu haukuhusu!
Kutuelekeza tukufate unavyotaka wewe ni useless!
Tuko darasani hapa?
Na akipunguza speed kwani ni lazima wa catch up anavyotaka yeye?
Kuelewa ni uamuzi binafsi wa mtu wala sio wako
Utapunguza speed utakavyo,kama ameamua kuelewa kinyume na unavyotaka wewe huna cha kumfanya!
Ndio maana nakwambia,usitupangie jinsi ya kuelewa,ni uamuzi wetu tuelewe vipi na sio unavyotaka wewe!
Ha ha ha!Unanikosea heshima mkuu....mimi na Magufuli the loser wapi na wapi?
Never liked that lunatic since day 1....
Wewe ndio umejawa magufulism!