Rais Samia usicheke na nyani

Rais Samia usicheke na nyani

Wa muupstage kwa lipi? Shida yenu kujitekenya wenyewe. Mama anaongoza serikali ya chama cha mapinduzi iliyoingia madarakani kwa kura za magufuli. Kasema yeye na magufuli ni kitu kimoja. Sijui kwa nini nyumu hawaelewi.
Kura za Magufuli zimeishia Chato.
Tatizo kuna viburushuti vilitamani katiba isingefuatwa ili wao wawe marais.
Ndio hao wana mu upstage mama.
 
Hii nchi mijitu inawaza uchaguzi tu...yaani ni kama mifala fulani tu ambayo huwaza madaraka tu all the time...ndio maana kuna wakati wengine tuliupenda ule utemi na undava wa Magufuri aka JPM...kuna mijitu mipumbavu yakuchapa mijeredi...
 
Nyani ni akina nani?

Kupitisha hukumu opposition ni nyani basi huna objectivity kwa ushauri wako mufilisi uliompa huyo dikteta

Madikteta ni madikteta tu

Kuna njiti mahali inachezewa,utani inawasha msitu....ngoja Mbowe afe muone!
Soma tena na tafakari kwa makini.
 
Tulisema huko nyuma na yameshaanza kutokea.
Wanao mdhihaki Mama wanaendelea kuota masharubu.

-Gwajima anamtunishia msuli Mwenyekiti wake wa CCM
-Pole pole na kwa mbali anaonyesha kutomjali Mwenyekiti wake kwa kaui binafsi tata.
-Mbowe inaelekea kashughulikiwa na Team Mwendazake
 
Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia.

Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua.

Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako.

UPDATE
Tulisema na yameshaanza kutokea
-Gwajima anamtunishia msuli Mwenyekiti wake wa CCM
-Pole pole na kwa mbali anaonyesha kutomjali Mwenyekiti wake kwa kaui binafsi tata.
-Mbowe inaelekea kashughulikiwa na Team Mwendazake

etc etc
Acha upotoshaji na uongo wenye giza la kichawi
 
Umeandika hot airs ulizoandika

Kusoma na kuelewa ni kazi yetu watazamaji,cha ajabu unatuingilia eti unatuelekeza jinsi ya kusoma na kuelewa ulichoandika wewe mwenyewe?

Yaani unatufundisha kazi yetu sisi wasomaji?

Wewe umeandika,then chapa lapa,kuelewa ni kazi yetu sisi,usitufundishe jinsi ya kuelewa ulichoandika,ni kutuingilia!
Sasa kama huelewi kosa la nani?
Hata darasani mwalimu inabidi apunguze spidi ili manunda ya catch up.
 
Nani kakwambia sielewi?

Sielewi according to wewe unavyotaka?

Naelewa navyotaka mimi,wewe ni mtoa mada,uelewa ni wa kwetu haukuhusu!

Kutuelekeza tukufate unavyotaka wewe ni useless!


Tuko darasani hapa?

Na akipunguza speed kwani ni lazima wa catch up anavyotaka yeye?

Kuelewa ni uamuzi binafsi wa mtu wala sio wako

Utapunguza speed utakavyo,kama ameamua kuelewa kinyume na unavyotaka wewe huna cha kumfanya!

Ndio maana nakwambia,usitupangie jinsi ya kuelewa,ni uamuzi wetu tuelewe vipi na sio unavyotaka wewe!
Ni dhahiri nyie ndio wale mnaoishi na utaratibu wa mashetani ya Mwendazake.
Mshindwe.
 
Hapana msilaumi watu bule alieamulu yote yatokee ni yeye hao wasaidizi wake hawapaswi kulaumiwa.Rejea hotuba zake na bado akawambie yeye na JPM ni kitu kimoja Sasa kwa hali hiyo anaepaswa kulaumiwa ni nani
 
Back
Top Bottom