😂😂😂
Mama wakatae tena pakubwa kabisa kwa kuupiga mwingi zaidi.
Hayo makundi yalishamiri sana awamu ya Tano ndani ya ccm na ccm haiwezi kwepa hao watu bila kukubali KATIBA MPYA
(1) VYETI FEKI
Hivi Kuna watu wanafaidi na VYETI FEKI vyao kama:-
Bashite
Kigwangala,
Mwigulu
Nk
(2) MADAWA YA KULEVYA
Makonda na Ile vita yake FEKI ya kukamata kina Wema Sepetu hawezi kuwa alikuwa anawaficha wale wakubwa wanaouza unga Duniani .
(3)MAJÀMBAZI
Hivi mtu kama Sabaya anapatikana awamu ya sita,na awamu hii naomba umtaje jambazi wa kitaasisi ya udc akaungane na Sabaya.
(4)WAHUJUMU UCHUMI
Awamu ya Tano tulishuhudia uhujumu Uchumi bandarini,tanroads,hazina,tamisemi kupitia halmashauri zote tz.
(5) WEZI MALI ZA UMMA
kama Kuna mkurugenzi wa wilaya hakula MALI za umma kupitia miradi mliyoiita miradi ya kimkakati awamu ya Tano huyo lazima alipigiwa kelele na kina SuleimanJafo wa tamisemi ile .
(6)VIBAKA
Hivi Hadi Sasa wale watu waliokuwa wanajiita wanyonge wa awamu ya Tano tunajuwa walikuwa wanafanya Shughuli Gani za kiuchumi kupata riziki zao,wengi wao kwenye mazungumzo yao walikuwa wanasifia sana vitendo vya wasiojulikana.kama Vitendo vile ndio vinavyowapa riziki.
(7)WAVIVU
watanzania WAVIVU awamu ya Tano walinawiri sana ukiwasikiliza wanavyosifia ujenzi wa uwanja wa ndege chato,mbuga ya burigi wakati mtu huyo hata nauli ya kutoka magomeni kota KWENDA stendi ya mbezi Hana , na hivi Kuna mtu Sasa hivi atamzidi uvivu mtu kama kitila mkumbo kwenye Uwekezaji wa viwanda nchini, hebu tuulizane uwekezaji Wa viwanda alifanya nini mbwiga Ile iliyoamua kuuza Uhuru wake. .
(8)WAFITINA
Awamu ya Tano ilijaa WAFITINA kama ulezi hebu ona kina Pascal MAYALA wanavyopuliziwa dudu magic ukiwaona wanavyohangaika kufanya uchawa lakini kimya mpaka anatia kinyaa ,lakini kina Gwajiboy kina Msukuma ndiyo walikuwa wameshika usukani wa yule dhalimu wanampelekesha kusi mara kaskazini.
(9)WALA RUSHWA
.Hivi mbona lipo wazi kabisa RUSHWA iliyotembea awamu ya Tano kwenye miradi ya ujenzi ya kimkakati ilionekana kama haya majitu yatatawala milele au yanakwenda kununua nchi nyingine kuongeza ukubwa wa nchi au yatatangaza Chato republic.
(10)MAJANGILI
Awamu ya Tano tulishuhudia yule jangili wa pembe za ndovu na mibunduki CCM mkibadilishana na channel ten, dhalimu bila aibu anamwachia huru jangili Mbobezi.
(11)WAKWEPA KODI
Àwamu ya Tano ilikuwa na WAKWEPA KODI kibao ndio maana Dc Sabaya alikuwa anajikusanyia Kodi uchwara kivyake nà waziri wa fedha alijua Hilo Akauchuna tu.
(12)WAKOSA UZALENDO
Limtu kama KABUDi kwa elimu yake halikuona umuhimu wa katiba MPYA hata baada ya dikteta kutokomea motoni,Kabudi lilitakiwa lije hadharani na kutuambia watanzania poleni mliingia Cha kike
kile, kwakuwa katiba iliwabana shingoni yule dhalimu utawala wake lilikuwa darasa tosha kuanza mchakato wa katiba Mpya ,hili li KABUDi sio lizalendo kabisa.
(13)WATOROSHA MADINI
Ukikutana na wabobezi katika uchunguzi wa jinai za kitaasisi wakikueleza yanayofanyika kwenye tanzanite utajuwa kwanini jiwe na pk hawakuongea Tena.
(14)WALE VI
Hivi kwa ule udikteta wa Jiwe kitwanga kwanini aliingia bungeni amelewa ,hata vikina Polepole ule ulevi wa madaraka wa V8 ulitosha kuona ulevi ni vitendo Gani.
(15)WAZINZI
Huyo Polepole anakutwa na KY gheto kwake mtu mwenyewe Hana mke ila wasaidizi wake wote ni Wana wake , kurà za maoni viti maalumu bila kulambwa na Polepole hupiti na yule waziri aliyejifungua katoto hajawahi kanusha kama sio katoto ka jiwe.
(16)WAHALIFU WENGINE WOOOTE.
Hapa ndio Sasa unakuja kuingiza kina
-BASHIRU kutaka uraisi asipewe huyo mama.
-CHAMULILO tunahakika zile kazi za ujenzi hakosi mgao.
-KAKOKO Bandarini
-DOTO JAMES hazina
-MAKONDA na lile ghorofa la gsm.
-SIRROna askari wake wa kwenye kesi ya mbowe na wale waliowahi kumtisha Nape akaenda kuwaficha mtwara.
HAYA YOTE YAMEFANYIKA KWA KUWA NA KATIBA MBOVU YA 1977 INAYOILEA CCM LUMUMBA KAMA BUMUNDA LA MSIMU WA NJAA.
KATIBA MPYA ndio dawa ya kutibu uozo huu wote tusiisingizie awamu ya sita.