Leo maji yamewafika shingoni wanakosa jinsi ya kukutoa madarakani wanaanza kujipitisha huku wakisema katiba mpya inahitajika, walidhani mfumo dume utadumu milele hawakujua mungu ndiye apangae. Sasa hivi wa CCM wanaumizwa na katiba kuliko wana Chadema.