Katiba mpya ni kwa faida ya watanzania wote. Hata Rais Samia itamsaidia hukombeleni.
Akifata ushauri huu atanishukuru hukombeleni
Ni hadi atoke madarakani ndo atauelewa ushauri wakoKatiba mpya ni kwa faida ya watanzania wote. Hata Rais Samia itamsaidia hukombeleni.
Akifata ushauri huu atanishukuru hukombeleni
2035 mbali mno. 2025 tu hapoAcha tumpe muda...
2035 huko atakuwa ameelewa ulichozungumza
Alishasema Lissu, waendelee kufurahia namna ambavyo wapinzani wamekuwa wakikandamizwa na namna ambayo viongozi wa CCM wamekuwa wakisigina Katiba na demokrasia Ila alisema wakiwamalizwa wapinzani basi wajiandae watamalizana wao kwa wao.Leo maji yamewafika shingoni wanakosa jinsi ya kukutoa madarakani wanaanza kujipitisha huku wakisema katiba mpya inahitajika,,,,Walidhani mfumo dume utadumu milele hawakujua mungu ndiye apangae!!!! Sasa hivi wa ccm wanaumizwa na katiba kuliko wanachadema .
Umeandika upuuzi mtupu. Kudai Katiba Mpya hakuwezi kuwa uhaini hata kama unafikiria kwa kutumia tumbo linalojazwa kwa maslahi ya hii Katiba mbovu iliyopo.Watanzania wa chini hawako tayari kubadili katiba, hii yenyewe bado inawashinda. Kudai katiba mpya ni uhaini na kuikosea adabu katiba iliyoko sasa na kuwakosea sana waasisi wa nchi yetu. Katiba sio kipaumbele cha watanzania since haitafika kutatua kero za ajira bali itaongeza kero hiyo, kupungua kwa bei ya bidhaa, kupanda thamani ya uzalishaji na masoko, n.k.
Katiba ni maridhio ya wananchi na sio kikundi fulani cha wachache. CCM ndio chaguo la wananchi na ikiwa wananchi wenyewe wanahitaji katiba mpya vasiwangewaambia viongozi wao kuwa tunahitaji katiba mpya. Wananchi hawajawahi ku raise hoja hii popote pale kwenye nchi hii, na rais akikubali basi atakuwa ametusaliti sisi wananchi. Namkumbusha tu katika ziara zake au makutano yake na wananchi hoja hii hajawahi kuambiwa. Wanaotaka katiba mpya ni wachache mno na wengi wao wahalifu na wahuni na hawana nia nzuri na taifa letu, kwa sababu wanaitaka katiba mpya kwa ajiri ya nani? Naona ubinafsi,uchu wa madaraka na uzandiki mkubwa katika hili. Tanzania ipo imara kupitia katiba hii na hatujui katiba hiyo mnayoitaka itatuletea maafa gani.Umeandika upuuzi mtupu. Kudai Katiba Mpya hakuwezi kuwa uhaini hata kama unafikiria kwa kutumia tumbo linalojazwa kwa maslahi ya hii Katiba mbovu iliyopo.
FrustrationWatanzania wa chini hawako tayari kubadili katiba, hii yenyewe bado inawashinda. Kudai katiba mpya ni uhaini na kuikosea adabu katiba iliyoko sasa na kuwakosea sana waasisi wa nchi yetu. Katiba sio kipaumbele cha watanzania since haitafika kutatua kero za ajira bali itaongeza kero hiyo, kupungua kwa bei ya bidhaa, kupanda thamani ya uzalishaji na masoko, n.k.
PGOFrustration
Kwani watanzania waliwahi kuomba Ndege,reli na uchafu mwingine kwenye ziara za rais!!!?Katiba ni maridhio ya wananchi na sio kikundi fulani cha wachache. CCM ndio chaguo la wananchi na ikiwa wananchi wenyewe wanahitaji katiba mpya vasiwangewaambia viongozi wao kuwa tunahitaji katiba mpya. Wananchi hawajawahi ku raise hoja hii popote pale kwenye nchi hii, na rais akikubali basi atakuwa ametusaliti sisi wananchi. Namkumbusha tu katika ziara zake au makutano yake na wananchi hoja hii hajawahi kuambiwa. Wanaotaka katiba mpya ni wachache mno na wengi wao wahalifu na wahuni na hawana nia nzuri na taifa letu, kwa sababu wanaitaka katiba mpya kwa ajiri ya nani? Naona ubinafsi,uchu wa madaraka na uzandiki mkubwa katika hili. Tanzania ipo imara kupitia katiba hii na hatujui katiba hiyo mnayoitaka itatuletea maafa gani.
Wewe siyo mtanzania wa chini Kwa hiyo huna haki ya kuwasemea.Watanzania wa chini hawako tayari kubadili katiba, hii yenyewe bado inawashinda. Kudai katiba mpya ni uhaini na kuikosea adabu katiba iliyoko sasa na kuwakosea sana waasisi wa nchi yetu. Katiba sio kipaumbele cha watanzania since haitafika kutatua kero za ajira bali itaongeza kero hiyo, kupungua kwa bei ya bidhaa, kupanda thamani ya uzalishaji na masoko, n.k.