Rais Samia, usikubali hasira dhidi ya Hayati Dkt. Magufuli zihamishiwe kwako!

Rais wa Jamuhuri anakasirikiwa ? Kasirikeni tu halafu na yeye akasirike 🐒
 
Kura zenu ndo zomemfikisha hapo alipofika,haruhisiwi kukasirika.
Kura za nani ? Rejea hapa👇
 
Kwa sababu Ben Saa Nane, Azory na hata Tundu Lisu n.k hawakuwa ndugu zako na kwa sababu babay yako ndiye aliyempa jogooo JPM huwezi kuwa hasira naye!
Hao waliuawa na gaidi mbowe
 
Amini au Mobutu waliua watu kwa mikono yao wenyewe ?!
 
JPM tayari ametangulia mbele ya haki tumuacha apumzike salaama kwani aliyoyafanya duniani hasa akiwa Mkuu wa Kaya hatutaki kuyakumbuka.mama SAMIA yupo vizuri kazi kubwa na njema aliyofanya itakamilika ,ana siku chache madarakani hivyo tumpe muda.
 
JPM tayari ametangulia mbele ya haki tumuacha apumzike salaama kwani aliyoyafanya duniani hasa akiwa Mkuu wa Kaya hatutaki kuyakumbuka.mama SAMIA yupo vizuri kazi kubwa na njema aliyofanya itakamilika ,ana siku chache madarakani hivyo tumpe muda.
Ameanza kubadilika

Anakengeuka mapema Sana

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
MSHAURI PIA ASIRITHI CHUKI ZA MAGUFULI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Watu kina nani? Mbona unawasemea watu ambao hata huwajui? Shida ya chadema mnazani nyie mkiongea ndo saut ya watz..ebu pambaneni kumtoa gaid wenu selo mazeee...nyie ni kikundi kidogo sana hapa bongo..
 
Tunaomba kesi hii isikilizwe kwa uhuru ushaidi wote uwekwe hadharani mashahidi pia wote wa pande zote wawepo pia endapo kama **** sauti zao labda pengine wakati mjama ovu zikipangwa endapo zipo pia ziwekwe hadharani ili watanzamia tuone namna gani kesi hii au shauri hili litafanyiwa kazi kwa HAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…