Rekebisheni vifungu vyenye utata ambavyo watanzania wanavipigia kelele!! Acheni ujinga wa kufikir kila mpingaji wa vifungu ni mwizi!!Wapigaji bandarini hawataki ibinafsishwe waendelee kuiba
Sasa si mmeshaambiwa mikataba bado haijasainiwa na maoni yenu yamesikilizwa mnaendelea kupiga kelele za nini au mnadhani mnaongea na viziwi?Rekebisheni vifungu vyenye utata ambavyo watanzania wanavipigia kelele!! Acheni ujinga wa kufikir kila mpingaji wa vifungu ni mwizi!!
Sababu ya kitoto hiyo. Kama kuna uzembe wa usimamizi wa sheria taratibu na kanuni za kulinda rasimali za Taifa, mamlaka za uteuzi ziwashughulikie wateule waoWapigaji bandarini hawataki ibinafsishwe waendelee kuiba
Mkataba umepelekwa Bungeni, baada ya kuvujishwa, tayari umekwisha kusainiwa na pande zote. Na kwa kuwa Bunge limeridhia, hakuna cha zaidi ila kuambatinisha maridhio hayo ya BungeSasa si mmeshaambiwa mikataba bado haijasainiwa na maoni yenu yamesikilizwa mnaendelea kupiga kelele za nini au mnadhani mnaongea na viziwi?
Tangu tumepata uhuru bandari imekua ni lango la upigaji .sasa Acha aje mwekezaji aweke mashine tuone hao wapigaji wataishi vipi. Uwezo wa kuoboresha bandari iwe ya kisasa kama ya dubai sisi hatuna tukubali tuu.Sababu ya kitoto hiyo. Kama kuna uzembe wa usimamizi wa sheria taratibu na kanuni za kulinda rasimali za Taifa, mamlaka za uteuzi ziwashughulikie wateule wao
Basi tulieni mletewe maendeleo.Mkataba umepelekwa Bungeni, baada ya kuvujishwa, tayari umekwisha kusainiwa na pande zote. Na kwa kuwa Bunge limeridhia, hakuna cha zaidi ila kuambatinisha maridhio hayo ya Bunge
Ile mikataba mibovu iliyopitishwa miaka ya nyuma na CCM masikio mliyapeleka mirembe ama? Watanzania na viongoz mbalimbali wa dini wanawajua nyie kuhusu mikataba ndio maan.. hawapoi kukosoa!!Sasa si mmeshaambiwa mikataba bado haijasainiwa na maoni yenu yamesikilizwa mnaendelea kupiga kelele za nini au mnadhani mnaongea na viziwi?