jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Huu ni wito.
wapo wahuni huku mtaani walioanza kujitanabaisha na kujipendekeza kwako yaani wakijidai wamerudi kwenye "game"na wakitumia jina lako. Sisi wazalendo tunakujuza kuwa hao ni wahuni tu na ni watumia fursa.
chapa kazi na kazi iendelee na kamwe wasijitwike ujuaji eti wanasaidia au kujua mambo. wapo wajuvi wa mambo makubwa zaidi yao.wao pia waliwekwa tu kwa muda na sababu...wapo wanaojua mambo makubwa zaidi yao.
WAPO WANANCHI WENYE VINASABA VYA KUIPIGANIA NCHI AMBAO HAWAKUWAHI KUPATA FURSA YA KUTAMBULIWA (HAWA NI WENGI).
CCM na Serikali ni zaidi ya yoyote.
#KAZIIENDELEE.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!