PostGE2025 Rais Samia: Uwaziri Mkuu Hauna Urafiki Na Undugu. Ni Nafasi ya kuwatumikia Watu Na Taifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameongea kwa uchungu ,hisia na utulivu mkubwa sana katika hotuba yake nzito na yenye Kugusa mara baada ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba.

Ambapo Amesema ya kuwa Uwaziri Mkuu Hauna undugu wala urafiki na kwamba hiyo ni nafasi ya kuwatumikia watu na Taifa letu kwa ujumla wake . Amesema kwa umri wake ni nafasi ya ushawishi yaani nafasi inayomfanya kukutana na vishawishi mbalimbali kutoka kwa ndugu ,jamaa ,marafiki na watu wengine mbalimbali.

Hivyo Mheshimiwa Rais akamtaka Mheshimiwa Mr Clean Daktari Mwigulu Nchemba kwenda kufanya kazi na kulitumikia Taifa badala ya kutumia vibaya nafasi hiyo ambayo ameaminiwa.

Mheshimiwa Rais amemtakia kila la heri Mr Clean katika majukumu yake mapya na kwamba mengine watazungumza katika vikao vya ndani katika adhima nzima ya kuhakikisha Mr Clean anatimiza matarajio ya Mheshimiwa Rais na kufanya kazi tukuka.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mkuu, unajitafutia LAANA kubwa sana katika maisha yako.

Damu za watu zimemwagika ili kumpinga Samia, na nyingine zinemwagika ili kumtetea akae madarakani. Damu hizi zote mbili zinalia kwa ukali sana.

Kufungamana na watu waliosababisha damu kumwagika na hawajali, moja kwa moja na wewe unajifunga katika laana hiyo. Unaweza usiione leo ila ukaiona kesho, isiwe kwako ila kwa uzao wako.

Usifungwe nira na wamwaga damu zisizo na hatia kwa sababu ya pesa/madaraka ama chochote kile.

TUBU, ACHA KABISA HIKI UNACHOKIFANYA.
 
Uchawa huzaa kiburi na kiburi huzaa majito....its a triphasic process(amini atajutia siku moja)
 
Yeah, ni suala la muda tu. Damu kumwagika kisha ukafurahia kabisa kumwagika kwa damu ile isiyo na hatia ni makosa makubwa sana.
 
Kipenzi cha watanzania wapi? Hawa hawa watanzania waliopgwa risasi kama pongo wa mwituni ndo vipenzi wa huyu raisi wa mchongo, au unazungumzia raisi mwingine na watanzania wengne? Mim sijakuelewa
Rais Samia ni kipenzi cha watanzania na ndio Maana alipigiwa kura nyingi sana za ndio kwa 98%
 
Mkuu, unajitafutia LAANA kubwa sana katika maisha yako.

Damu za watu zimemwagika ili kumpinga Samia, na nyingine zinemwagika ili kumtetea akae madarakani. Damu hizi zote mbili zinalia kwa ukali sana.

Kufungamana na watu waliosababisha damu kumwagika na hawajali, moja kwa moja na wewe unajifunga katika laana hiyo. Unaweza usiione leo ila ukaiona kesho, isiwe kwako ila kwa uzao wako.

Usifungwe nira na wamwaga damu zisizo na hatia kwa sababu ya pesa/madaraka ama chochote kile.

TUBU, ACHA KABISA HIKI UNACHOKIFANYA.
Hivi mtu mwenye akili Timamu unaweza vipi andamanishwa barabarani na mtu aliye huko Marekani ili wewe uchome Taifa letu? Hivi huo ni uzuzu au uwendawazimu?
 
Sijaona Mwigulu ashike kalamu na notebook kuandika mawaidha ya mama.

Ameanza kiburi siku ya kwanza ya uteuzi wake.

Rais anapoongea sharti uandike notes for future use and reference.

Lenyewe limebweteka tu linawaza kukwapua hela.

Ila huyu Mwigulu! Dharau gani hizi kwa Rais?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameongea kwa uchungu ,hisia na utulivu mkubwa sana katika hotuba yake nzito na yenye Kugusa mara baada ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba.

Ambapo Amesema ya kuwa Uwaziri Mkuu Hauna undugu wala urafiki na kwamba hiyo ni nafasi ya kuwatumikia watu na Taifa letu kwa ujumla wake . Amesema kwa umri wake ni nafasi ya ushawishi yaani nafasi inayomfanya kukutana na vishawishi mbalimbali kutoka kwa ndugu ,jamaa ,marafiki na watu wengine mbalimbali.

Hivyo Mheshimiwa Rais akamtaka Mheshimiwa Mr Clean Daktari Mwigulu Nchemba kwenda kufanya kazi na kulitumikia Taifa badala ya kutumia vibaya nafasi hiyo ambayo ameaminiwa.

Mheshimiwa Rais amemtakia kila la heri Mr Clean katika majukumu yake mapya na kwamba mengine watazungumza katika vikao vya ndani katika adhima nzima ya kuhakikisha Mr Clean anatimiza matarajio ya Mheshimiwa Rais na kufanya kazi tukuka.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pumbavu kabisa !!!
 
Wivu tu ndio unaokusumbua ewe zero Brain
 
Wewe mlamba matako, usiingie kwa VPN basi humu. Mama yako hautaki huu mtandao
 
Back
Top Bottom