Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Uchawa huzaa kiburi na kiburi huzaa majito....its a triphasic process(amini atajutia siku moja)Mkuu, unajitafutia LAANA kubwa sana katika maisha yako.
Damu za watu zimemwagika ili kumpinga Samia, na nyingine zinemwagika ili kumtetea akae madarakani. Damu hizi zote mbili zinalia kwa ukali sana.
Kufungamana na watu waliosababisha damu kumwagika na hawajali, moja kwa moja na wewe unajifunga katika laana hiyo. Unaweza usiione leo ila ukaiona kesho, isiwe kwako ila kwa uzao wako.
Usifungwe nira na wamwaga damu zisizo na hatia kwa sababu ya pesa/madaraka ama chochote kile.
TUBU, ACHA KABISA HIKI UNACHOKIFANYA.
Bila shaka wewe siyo mtanzaniaRaisi kwa uchaguzi gani?
Yeah, ni suala la muda tu. Damu kumwagika kisha ukafurahia kabisa kumwagika kwa damu ile isiyo na hatia ni makosa makubwa sana.Uchawa huzaa kiburi na kiburi huzaa majito....its a triphasic process(amini atajutia siku moja)
Rais Samia ni kipenzi cha watanzania na ndio Maana alipigiwa kura nyingi sana za ndio kwa 98%Kipenzi cha watanzania wapi? Hawa hawa watanzania waliopgwa risasi kama pongo wa mwituni ndo vipenzi wa huyu raisi wa mchongo, au unazungumzia raisi mwingine na watanzania wengne? Mim sijakuelewa
Hivi mtu mwenye akili Timamu unaweza vipi andamanishwa barabarani na mtu aliye huko Marekani ili wewe uchome Taifa letu? Hivi huo ni uzuzu au uwendawazimu?Mkuu, unajitafutia LAANA kubwa sana katika maisha yako.
Damu za watu zimemwagika ili kumpinga Samia, na nyingine zinemwagika ili kumtetea akae madarakani. Damu hizi zote mbili zinalia kwa ukali sana.
Kufungamana na watu waliosababisha damu kumwagika na hawajali, moja kwa moja na wewe unajifunga katika laana hiyo. Unaweza usiione leo ila ukaiona kesho, isiwe kwako ila kwa uzao wako.
Usifungwe nira na wamwaga damu zisizo na hatia kwa sababu ya pesa/madaraka ama chochote kile.
TUBU, ACHA KABISA HIKI UNACHOKIFANYA.
Huna akili.Wewe na huyo mama yako wote mnapigwa la kati stupid idiot mofo
Wewe ndio hauna akili na utaendelea kukaa kwa shemeji yako milele stupid mofoHuna akili.
Pumbavu kabisa !!!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameongea kwa uchungu ,hisia na utulivu mkubwa sana katika hotuba yake nzito na yenye Kugusa mara baada ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba.
Ambapo Amesema ya kuwa Uwaziri Mkuu Hauna undugu wala urafiki na kwamba hiyo ni nafasi ya kuwatumikia watu na Taifa letu kwa ujumla wake . Amesema kwa umri wake ni nafasi ya ushawishi yaani nafasi inayomfanya kukutana na vishawishi mbalimbali kutoka kwa ndugu ,jamaa ,marafiki na watu wengine mbalimbali.
Hivyo Mheshimiwa Rais akamtaka Mheshimiwa Mr Clean Daktari Mwigulu Nchemba kwenda kufanya kazi na kulitumikia Taifa badala ya kutumia vibaya nafasi hiyo ambayo ameaminiwa.
Mheshimiwa Rais amemtakia kila la heri Mr Clean katika majukumu yake mapya na kwamba mengine watazungumza katika vikao vya ndani katika adhima nzima ya kuhakikisha Mr Clean anatimiza matarajio ya Mheshimiwa Rais na kufanya kazi tukuka.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utafakari sana huo ujumbe niliokupa mkuu.Hivi mtu mwenye akili Timamu unaweza vipi andamanishwa barabarani na mtu aliye huko Marekani ili wewe uchome Taifa letu? Hivi huo ni uzuzu au uwendawazimu?
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hojaPumbavu kabisa !!!
Wivu tu ndio unaokusumbua ewe zero BrainSijaona Mwigulu ashike kalamu na notebook kuandika mawaidha ya mama.
Ameanza kiburi siku ya kwanza ya uteuzi wake.
Rais anapoongea sharti uandike notes for future use and reference.
Lenyewe limebweteka tu linawaza kukwapua hela.
Ila huyu Mwigulu! Dharau gani hizi kwa Rais?
Wewe mlamba matako, usiingie kwa VPN basi humu. Mama yako hautaki huu mtandaoNdugu zangu Watanzania,