Rais Samia: Uzalishaji Umeme Bwawa la Nyerere kuanza Januari 2024

Kama Biteko bado ndiye waziri wa nishati bado tatizo liko pale pale. Mtoe Biteko hapo.
 
Huwa nina walaani sana kina JK 2015 kukataa Mwinyi kuwa VP. Tusingekuwa na Rais Incompetent kama huyu.

Huyu alipaswa kuwa Ceremonial President na sio Executive President. Yeye mwenyewe alikataa na kusema hawezi, lakini akalazimishwa. Pengine waliomlazimisha walikua na malengo yao. Rais gani mtendaji yeye kila jambo, NAAMBIWA, NADHANI hata mambo ya kimkakati ambayo alipaswa ayabebe mwenyewe kama Rais. Huyu tofauti yake na Malkia wa Uingereza ni nini?
 
Usishangae ukaambiwa mitambo inafanyiwa service
 
HivB
 
Hasara za kutegemea taarifa za Tanesco ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Yale Yale Ya SGR Tangu 2019 Mpaka Haitembei/Haitatembea Ndiyo Umeme Sounds Tupu
 
Hili la umeme linachosha sana, tena haswaa..! Unapogundua hadi kiongozi wa juu kabisa naye hawezi kusema ukweli

January na leo tupo February na hakuna chochote..? Inauma sana aisee
Ukweli Mchungu CCM Na Viongozi Wake Ni Tatizo Hapa Tanzania Ukweli Wanaukana Kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ