Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais Samia Suluhu amewasihi Watanzania, hususan vijana, kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kuwakataa wale wote wasiolitakia mema taifa. amesema hayo Agosti 14, 2026 wakati akishiriki katika Tamasha la Kizimkazi kwenye Uwanja wa Mwehe Makunduchi, Zanzibar .
Amesisitiza kuwa shughuli za maendeleo, uwekezaji, biashara na ajira haziwezi kustawi kukiwa na vurugu, hivyo ni wajibu wa kila mwananchi kulinda amani na Muungano kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo.