Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wasiolitakia mema taifa letu ni hawa hapa:Rais Samia Suluhu amewasihi Watanzania, hususan vijana, kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kuwakataa wale wote wasiolitakia mema taifa. amesema hayo Agosti 14, 2026 wakati akishiriki katika Tamasha la Kizimkazi kwenye Uwanja wa Mwehe Makunduchi, Zanzibar .
Amesisitiza kuwa shughuli za maendeleo, uwekezaji, biashara na ajira haziwezi kustawi kukiwa na vurugu, hivyo ni wajibu wa kila mwananchi kulinda amani na Muungano kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Faki zati bi+ch! Yeye ndiye kinara wa wasioitakia mema nchi hii.Rais Samia Suluhu amewasihi Watanzania, hususan vijana, kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kuwakataa wale wote wasiolitakia mema taifa. amesema hayo Agosti 14, 2026 wakati akishiriki katika Tamasha la Kizimkazi kwenye Uwanja wa Mwehe Makunduchi, Zanzibar .
Amesisitiza kuwa shughuli za maendeleo, uwekezaji, biashara na ajira haziwezi kustawi kukiwa na vurugu, hivyo ni wajibu wa kila mwananchi kulinda amani na Muungano kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Huyu Bibi kila kitu anaandikiwa na kukisoma tu! Hakuna kinachotokea kichwani kwakeRais Samia Suluhu amewasihi Watanzania, hususan vijana, kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kuwakataa wale wote wasiolitakia mema taifa. amesema hayo Agosti 14, 2026 wakati akishiriki katika Tamasha la Kizimkazi kwenye Uwanja wa Mwehe Makunduchi, Zanzibar .
Amesisitiza kuwa shughuli za maendeleo, uwekezaji, biashara na ajira haziwezi kustawi kukiwa na vurugu, hivyo ni wajibu wa kila mwananchi kulinda amani na Muungano kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Tehe tehe tehe bangi ulokula leo ni ya ulokokola mazee"Hakuna kuridhiana wala kusameheana hadi tujue wale watu walioandaa na kuratibu mapinduzi na uhaini wakati zoezi la kikatiba la kupiga kura likiendelea"
Kama hakemei utakaji unategemea ataf8ka huko?Kwann anaogopa kutaja neno HAKI?!
Apuuzwe
Kudai katiba mpya ni uhaini huko Tanganyika.Rais Samia Suluhu amewasihi Watanzania, hususan vijana, kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kuwakataa wale wote wasiolitakia mema taifa. amesema hayo Agosti 14, 2026 wakati akishiriki katika Tamasha la Kizimkazi kwenye Uwanja wa Mwehe Makunduchi, Zanzibar .
Amesisitiza kuwa shughuli za maendeleo, uwekezaji, biashara na ajira haziwezi kustawi kukiwa na vurugu, hivyo ni wajibu wa kila mwananchi kulinda amani na Muungano kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Mbona redbrigade huwa wanapga watu kwenye mikutano ya ndani na hatusemi?Kuna askari wako wameua mtu just for fun huko Ngorongoro.
Yeye ndio anaharibu amani ya nchi yetu kwa UPUNGUANI wake.Rais Samia Suluhu amewasihi Watanzania, hususan vijana, kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kuwakataa wale wote wasiolitakia mema taifa. amesema hayo Agosti 14, 2026 wakati akishiriki katika Tamasha la Kizimkazi kwenye Uwanja wa Mwehe Makunduchi, Zanzibar .
Amesisitiza kuwa shughuli za maendeleo, uwekezaji, biashara na ajira haziwezi kustawi kukiwa na vurugu, hivyo ni wajibu wa kila mwananchi kulinda amani na Muungano kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo.
tabularasa.Huyu Bibi kila kitu anaandikiwa na kukisoma tu! Hakuna kinachotokea kichwani kwake
Rais Samia Suluhu amewasihi Watanzania, hususan vijana, kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kuwakataa wale wote wasiolitakia mema taifa. amesema hayo Agosti 14, 2026 wakati akishiriki katika Tamasha la Kizimkazi kwenye Uwanja wa Mwehe Makunduchi, Zanzibar .