Rais Samia: Vijana msikubali kuharibu amani ya nchi yenu, muwakatae wasiolitakia mema taifa

Amani ni muhimu sana, lakini amani ya kweli siyo kukataa kuuliza maswali au kukosoa. Taifa lenye amani pia linahitaji haki, uwajibikaji na uhuru wa wananchi kusema wanachokiona. Vurugu hatuzitaki, lakini ukimya wa kulazimishwa nao si amani.”
 
Hii hili tamasha lililetwa na nini?
 
Mbona redbrigade huwa wanapga watu kwenye mikutano ya ndani na hatusemi?
We fikiria uko salama wahuni hawana ujamaa wala undugu umemsikia mhadhiri wa UDOM ? Nyumbani kwake wamekata umeme na maji sasa jiulize familia yake imekosa nini? Unamjua shehe majini alipigwa chuma na kujipendekeza kote kule… shetani hana rafiki
 
Vijana hawa hawa aliowapiga risasi October 29? Sio hawa aliosema wakienda Kenya mikwaju wakirudi bongo mikwaju anasahau mapema Rais wangu
 
Wanaolitakia mema taifa letu wangefanya maridhiano kabla ya uchaguzi ili kuepusha kilichotokea October 29, wapo walioshauri ila walipuuzwa. Tuambizane ukweli tu kuwa vijana tuacheni tule keki ya taifa kwa amani.
 
Nomeamini msemo wa Wahenga.......

Sio lazima aokote makopo.......
 
Kwa hyo kuwa nyumbu ndo kuwa salama?

Siwezi kuvaa unyumbu kulisaliti taifa langu kisa heche au matobo kasema!
 
Wasioitakia amani nchi hii ni CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…