GE2025 Rais Samia: Vijana walioandamana wametoka nje ya Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Tumesikitishwa na kuhuzunishwa na matukio ya uvunjifu wa amani, upotevu wa maisha na uharibifu wa mali za umma na mali za watu binafsi. Kilichotokea hakiendani na taswira na sifa za kitanzania na sio Utanzania. Haikutushangaza kuona kuwa baadhi ya vijana waliokamatwa kutokana na tabia hiyo, wametoka nje ya Tanzania.

Vyombo vyetu vya Ulinzi vya Tanzania vinaendelea kufuatilia na kuchunguza wa undani zaidi kilichotokea na kuirudisha nchi katika hali tulioiozea haraka." Rais Samia Suluhu Hassan.
 

Sasa hao vijana waliotoka nje ya Tanzani wanarudi lini makwao?

Na wale waliokufa mbona hataki kuwaongelea kabisa? Aisee, Maza ana roho ngumu.....!!
 

Sasa wanadamane vijana kutoka nje lakini kufa wafe vijana wa Kitanzania.....!!?
 
Mungu wa haki ataamua!
 
Huyu anadhani Watanzania wana akili ya kuvukia barabara tu.
 
Kukataliwa ni kubaya sana

Akubali TU amekataliwa na mamilion ya watanzania
La sivyo ataumia sana
 
Jesus christ, what in the hell is this?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…