ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 5,059 Reaction score 15,862 Nov 4, 2025 #41 Ukifanya ubaya na ww nafsini unajua umefanya ubaya lakini bado unashupaza shingo ...Hua tunakuacha ....Kuna siku ytalipwa kwa maovu yako ww na kizazi chako..
Ukifanya ubaya na ww nafsini unajua umefanya ubaya lakini bado unashupaza shingo ...Hua tunakuacha ....Kuna siku ytalipwa kwa maovu yako ww na kizazi chako..
Odense JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 2,708 Reaction score 3,551 Nov 4, 2025 #42 Huyu maza katuni kweli..[emoji28]
Odense JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 2,708 Reaction score 3,551 Nov 4, 2025 #43 Mike A Mugilanetza said: Sasa Polisi wasihahe kukamata watu wanaowashuku kuandamana Click to expand... Wawakamate wapi na waandamanaji hawakua waTanzania, au wataenda msumbiji kuwadaka
Mike A Mugilanetza said: Sasa Polisi wasihahe kukamata watu wanaowashuku kuandamana Click to expand... Wawakamate wapi na waandamanaji hawakua waTanzania, au wataenda msumbiji kuwadaka
Kishimbe wa Kishimbe JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 7,835 Reaction score 8,703 Nov 4, 2025 #44 ... ikithibitika wanyongwe mpaka daktari athibitishe kutoka Kwa roho zao! ... NA HUKUMU ISIAHIRISHWE HATA SIKU MOJA!
... ikithibitika wanyongwe mpaka daktari athibitishe kutoka Kwa roho zao! ... NA HUKUMU ISIAHIRISHWE HATA SIKU MOJA!
M Mwana parokia JF-Expert Member Joined Sep 27, 2023 Posts 1,193 Reaction score 2,066 Nov 4, 2025 #45 byeyombo said: Diaspora pia wanatumika kueneza propaganda na kuchochea uvunjifu wa amani! Click to expand... Na wewe ni mpumbavu kiasi hiki?Amani gani iliyopo?
byeyombo said: Diaspora pia wanatumika kueneza propaganda na kuchochea uvunjifu wa amani! Click to expand... Na wewe ni mpumbavu kiasi hiki?Amani gani iliyopo?