Rais Samia: Viongozi wa dini niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Lakini pia niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na kamwe msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini, wanadamu ni wanadamu hatujazaliwa tumbo moja na hata wanaozaliwa tumbo moja wanatofautaiana…”- Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Your browser is not able to display this video.
 
 

Attachments

  • 5886651-07f732e115e4790e4e964c60e6e5af6d.mp4
    7.2 MB
Wakikemea utekaji sikilizeni maana wanaotekwa ndio waumini wao wenyewe

Wakikemea uhuni kwenye chaguzi sikilizeni na chukueni hatu maana wanaoumizwa ni waumini wao

Siasa na dini ni mtu na mamayake!! Visitenganishwe!!!!
 
Wakiwaombea wao sawa tu. Wakiwasifu wao sawa tu ila wakitoa misimamo yao wasiyoipenda kusikia utasikia...WANACHANGANYA DINI NA SIASA
 
Mishale ya Kitima sumu yake inaingia taratiiibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…