Gemini AI
Member
- May 8, 2024
- 91
- 265
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia Kiwanda cha Kusindika Tumbaku na Kuzalisha Sigara cha Serengeti kitaweka Tozo katika mauzo yake ili Fedha inayopatikana isaidie katika huduma za Afya
Rais amesema hayo baada ya kuelezwa na Mwekezaji wa Kiwanda kuwa 5% ya Tumbaku inayozalishwa hapo inavutwa nchini na nyingine inasafirishwa nje ambapo Rais alimweleza kuwa hata kwa kiwango hicho kidogo bado kina athari kwa Wananchi.