Rais Samia, vyeti feki na wafanyakazi hewa kwenye taasisi za Umma bado ni tatizo

Ndugu yangu , Vyeti Feki wengi walotumbuliwa na JPM na wenye Mchongo , wamerudishwa Makazin.

Vyeti Feki ambao hawajarudishwa ni wale hoehoeeee hawana watu.
Namjua mmoja yupo KCMC ni mtu namfaham back then , aliliwa kichwa na JPM tena level za juu, now wamempa kazi za mkataba like five years , Tena ile hospital inatakiwa kupigwa audit sana Ina vitu vya ajabu vingi kwenye fake staff na watumishi hewa
 
Mkuu hayo mambo hutayaweza nakushauri tu pambana na hali yako. Maana ungekuwa mlamba asali usingelialia hapa. Wacha watu tulambe asali Tanzania ni tajiri au nasema uongo ndugu zangu!!!
Mimi ni mlamba asali smart sio mjinga kama wewe. Lamba asali but itizame nchi yako next 30 years to come

Usiwe mjinga mungu kakupa akili, kwanini wewe unachagua ujinga?
 
Mi nahisi raisi asingetoka kwenye chama chochote yani asiwe na chama, na awe na uwezi wa kutolewa kama kazi imemshinda, kwa kura za maoni za wabunge.

Wabunge pekee ndio wawe na vyama.
 
Awamu ya Sami Nchi imeharibika sana na yeye Hana muda wa ku sahihisha makosa yake.kila siku anapaa tu na dream liner peke yake wakati ilinunuliwa kwa pesa nyingi ili lifanye biashara lakini yeye peka yake analipanda.Kwa Sasa nchi imerudi nyuma kimaendeleo miaka 30.atakaye Kuja baada ya Sami atakuwa na kazi kubwa sana ya kuumaliza huu uozo maana anaweza Kuja kukasirika na kuamua kumfunga huyu mharibu Nchi.kila sehemu pameoza.
 
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.

Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa TZ, jamii ya wasukuma huwa wanajua sana kusimamia mambo na yakaenda, shida kubwa tu ya wasukuma ni hawana soft skills.

Pamoja na jitihada zake, only 45% ya watumishi hewa na wenye vyeti feki ndio waliguswa, hii 55% bado ipo na kuna chances imeongezeka.

Tuna wasomi na graduates wengi mtaani. hatuna shida ya wasomi kwa sasa, hawa watu WAONDOLEWE . Kama mtu anaweza kufoji cheti, hii ni hatari na hasa kwenye taasisi nyeti.

Phase namba 2 a comprehensive audit ya kusafisha hawa watu ifanywe na this time they have to pay the govt for inconvenience .

Ruto, ameiga alichofanya JPM, he conducted a simple audit and found 2100 wana vyeti fake kwenye government offices.

Nashauri second comprehensive audit for public Servants . Tuanze na mashirika kama TRA, wizara zote, NIMR, EWURA.TMDA, NHIF, NSSF, MSD, GPSA, TTCL, TANROAD , MOI, JKCI, MNH.

Taarifa zisizo rasmi ni kuwa hawa watu wapo kwenye taasisi za Umma na baadhi yao walirudi baada ya kifo cha late JPM.

Currently kwa taarifa ambazo pia sio rasmi, hawa watu wameshaongezeka lakini na mishahara hewa nayo inatembea kama kawaida.

Hii ni whistle blower, Utumishi fanyeni kazi yenu, sio kila kitu Rais aseme ndio mfanye

Magufuli alituumiza sana sisi wenye vyeti fake. Siwezi mpenda. Nilimchukia sababu alisababisha mimi niondolewe kazini sababu ya cheti fake. Nimeishi kwa shida sana mpaka samia alipokuja kuturudisha tena makazini sisi wenye vyeti fake. Sasa allahamdulilah maisha yanaenda na safari za nje tunakuwa nazo.
 
Mi nahisi raisi asingetoka kwenye chama chochote yani asiwe na chama, na awe na uwezi wa kutolewa kama kazi imemshinda, kwa kura za maoni za wabunge.

Wabunge pekee ndio wawe na vyama.
Wabunge wenyewe ni akina Musukuma? Cmon. Hamna watu wenye akili Tanzania.
 
Magufuli alituumiza sana sisi wenye vyeti fake. Siwezi mpenda. Nilimchukia sababu alisababisha mimi niondolewe kazini sababu ya cheti fake. Nimeishi kwa shida sana mpaka samia alipokuja kuturudisha tena makazini sisi wenye vyeti fake. Sasa allahamdulilah maisha yanaenda na safari za nje tunakuwa nazo.
Wewe ni MUHALIFU and unapaswa kuwa polisi as we speak ,🤣.so now unakula matunda ya holela holela
All the best
 
Magufuli alituumiza sana sisi wenye vyeti fake. Siwezi mpenda. Nilimchukia sababu alisababisha mimi niondolewe kazini sababu ya cheti fake. Nimeishi kwa shida sana mpaka samia alipokuja kuturudisha tena makazini sisi wenye vyeti fake. Sasa allahamdulilah maisha yanaenda na safari za nje tunakuwa nazo.
Ulitakiwa kuwa jela mda huu.
 
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.

Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa TZ, jamii ya wasukuma huwa wanajua sana kusimamia mambo na yakaenda, shida kubwa tu ya wasukuma ni hawana soft skills.

Pamoja na jitihada zake, only 45% ya watumishi hewa na wenye vyeti feki ndio waliguswa, hii 55% bado ipo na kuna chances imeongezeka.

Tuna wasomi na graduates wengi mtaani. hatuna shida ya wasomi kwa sasa, hawa watu WAONDOLEWE . Kama mtu anaweza kufoji cheti, hii ni hatari na hasa kwenye taasisi nyeti.

Phase namba 2 a comprehensive audit ya kusafisha hawa watu ifanywe na this time they have to pay the govt for inconvenience .

Ruto, ameiga alichofanya JPM, he conducted a simple audit and found 2100 wana vyeti fake kwenye government offices.

Nashauri second comprehensive audit for public Servants . Tuanze na mashirika kama TRA, wizara zote, NIMR, EWURA.TMDA, NHIF, NSSF, MSD, GPSA, TTCL, TANROAD , MOI, JKCI, MNH.

Taarifa zisizo rasmi ni kuwa hawa watu wapo kwenye taasisi za Umma na baadhi yao walirudi baada ya kifo cha late JPM.

Currently kwa taarifa ambazo pia sio rasmi, hawa watu wameshaongezeka lakini na mishahara hewa nayo inatembea kama kawaida.

Hii ni whistle blower, Utumishi fanyeni kazi yenu, sio kila kitu Rais aseme ndio mfanye
Asilimia 90 ya watu wenye veri fake wapo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama jpm alipata shida kuwatoa hiko maana wengine walikuwa teyari ni maofisa wa ngazi za juu sana na wengine teyar wanamafunzo mbalimbali ya kikeshi.
Akaaumua kuwaacha!
 
1. Samia uwezo wa kuongoza nchi hana.

2. Samia hana network ya watu huku Tanganyika hivyo anategemea machawa kumtangaza kwa nguvu zote na kutumia pesa za umma kujitangaza kwa nguvu zote.
3. Vile samia hana network huku Tanganyika na pia anataka urais 2025 hivyo hataki kuendelea kuharibu zaidi so ndio maana hataki kusimamia makusanyo ya kodi ya ndani ili asije kuwakwaza wapiga kura, anaamua kukopa tu.

4. Tanganyika Samia vile hana network anategemea waliomzunguka ambao ndio wazee wa deal kina Manywele, Field Marshal mchumi daraja la kwanza, na wengineo wamsaidie. Hapo ndio kosa lilipo.

5. Hadi Samia aje amalize 2030 hii nchi itakua fucked up, tutakua na zigo la madeni yasiyobebeka. Imagine kaingia 2021 deni liko 54T leo miaka 3 liko 92 trilioni. Wastani wa trilioni 1.2 kwa mwezi kukopa.

6. Samia akimaliza muda wake atarudi kwao Zanzibar, zigo la deni tutabakia nalo Tanganyika. CCM wao hilo they don't give a fck as long as wao wanachotaka ni kuongoza serikali.

7. Muda ni mwalimu mkuu, lets wait and see.
 
Nakuunga mkono hoja yako ni sahihi ila ni tofauti na hii. Iwe separated na hii ya sasa.
 
Watanzania kwa pamoja tukubali nchi imepoteza DIRA na hii iwe ni hali ya dharura itangazwe.

Kazi aliyoianza JPM iliishia only 25% kwa phase zote, kwanini Samia haendelezi hii kazi, badala yake watumishi hewa na vyeti fake walirudi na wengine kulipwa pesa zao.

A simple audit iliyofanywa na Rais Dr Mwinyi imebaini weakness na mishahara hewa zaid ya Bil 2 kwenye sekta maalum za SMZ .

Huko Bara kuna uozo mkubwa lakini Samia yupo angani muda wote huku nchi inazidi kuliwa itakavyo, mwigulu yupo busy kuiweka nchi kwenye deni kubwa la Taifa hali ya kuwa kuna upotevu mkubwa wa fedha za umma na usimamizi mmbovu wa fedha za umma.

Kitu pekee ninachoona Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu Hassan anachofanya ni kuwa angani, kuteua na kutengua na kuhakikisha mji umechafuka kwa mabango yake yenye cheap politics .

Ni nani mwenye jukumu la usimamizi wa fedha za umma.?

Kwa sasa tunawasomi wengi kwanini nchi inawatumishi hewa? Vyeti fake ?

Tanzania sio masikini wa kukopa kila kukicha, tatizo kubwa hatuna usimamizi thabiti wa mapato ya walipa kodi, usimamizi wa pesa za umma na kuzuia mianya ya rushwa.

Tukubali kuwa kuna shida kubwa kwenye uongozi wa Samia, lakini chawa wote mnahaki ya kuamini sisi ni wapinzani badala ya wasema ukweli, uzuri tupo kwenye nyumba moja inayoharibiwa, kama haitokuathiri wewe leo , basi kizazi chako, au ndugu zako.

Rais Dr Mwinyi yupo objective , na huyu ndio tunamtaka 2025 aje kwanza kufanya reforms ya huu uharibifu unaoendelea bara.

Ni Tanzania only mtu anapewa kazi asiyoiweza, na huku watu wanampamba unaweza na umetimiza dah !
Hii hoja uliileta kwa mara ya kwanza tarehe 18 April 2024 ila ni wachache waliichangia. Leo umeifufua tena na naona wengi wameichangamkia. Ni jambo jema kabisa. Vyeti feki ni janga linaloitafuna nchi yetu Tanganyika na linatokana na tabia ya watawala wenyewe kulifumbia macho kwa sababu ya UONGO for cheap political gains. Viongozi wengi ni WAONGO. UONGO mpaka kwenye nyumba za ibada. UONGO mpaka kwenye chaguzi na maandalizi yake. UONGO kila mahali. Waache UONGO ndipo wataweza kupambana na janga hili la vyeti feki wakafanikiwa.
 
Back
Top Bottom