Rais Samia, vyeti feki na wafanyakazi hewa kwenye taasisi za Umma bado ni tatizo

Ndugu yangu , Vyeti Feki wengi walotumbuliwa na JPM na wenye Mchongo , wamerudishwa Makazin.


Vyeti Feki ambao hawajarudishwa ni wale hoehoeeee hawana watu.
Namjua mmoja yupo KCMC ni mtu namfaham back then , aliliwa kichwa na JPM tena level za juu, now wamempa kazi za mkataba like five years , Tena ile hospital inatakiwa kupigwa audit sana Ina vitu vya ajabu vingi kwenye fake staff na watumishi hewa
 
Mkuu hayo mambo hutayaweza nakushauri tu pambana na hali yako. Maana ungekuwa mlamba asali usingelialia hapa. Wacha watu tulambe asali Tanzania ni tajiri au nasema uongo ndugu zangu!!!
Mimi ni mlamba asali smart sio mjinga kama wewe. Lamba asali but itizame nchi yako next 30 years to come

Usiwe mjinga mungu kakupa akili, kwanini wewe unachagua ujinga?
 
Mi nahisi raisi asingetoka kwenye chama chochote yani asiwe na chama, na awe na uwezi wa kutolewa kama kazi imemshinda, kwa kura za maoni za wabunge.

Wabunge pekee ndio wawe na vyama.
 
Awamu ya Sami Nchi imeharibika sana na yeye Hana muda wa ku sahihisha makosa yake.kila siku anapaa tu na dream liner peke yake wakati ilinunuliwa kwa pesa nyingi ili lifanye biashara lakini yeye peka yake analipanda.Kwa Sasa nchi imerudi nyuma kimaendeleo miaka 30.atakaye Kuja baada ya Sami atakuwa na kazi kubwa sana ya kuumaliza huu uozo maana anaweza Kuja kukasirika na kuamua kumfunga huyu mharibu Nchi.kila sehemu pameoza.
 

Magufuli alituumiza sana sisi wenye vyeti fake. Siwezi mpenda. Nilimchukia sababu alisababisha mimi niondolewe kazini sababu ya cheti fake. Nimeishi kwa shida sana mpaka samia alipokuja kuturudisha tena makazini sisi wenye vyeti fake. Sasa allahamdulilah maisha yanaenda na safari za nje tunakuwa nazo.
 
Mi nahisi raisi asingetoka kwenye chama chochote yani asiwe na chama, na awe na uwezi wa kutolewa kama kazi imemshinda, kwa kura za maoni za wabunge.

Wabunge pekee ndio wawe na vyama.
Wabunge wenyewe ni akina Musukuma? Cmon. Hamna watu wenye akili Tanzania.
 
Wewe ni MUHALIFU and unapaswa kuwa polisi as we speak ,🤣.so now unakula matunda ya holela holela
All the best
 
Ulitakiwa kuwa jela mda huu.
 
Asilimia 90 ya watu wenye veri fake wapo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama jpm alipata shida kuwatoa hiko maana wengine walikuwa teyari ni maofisa wa ngazi za juu sana na wengine teyar wanamafunzo mbalimbali ya kikeshi.
Akaaumua kuwaacha!
 
1. Samia uwezo wa kuongoza nchi hana.

2. Samia hana network ya watu huku Tanganyika hivyo anategemea machawa kumtangaza kwa nguvu zote na kutumia pesa za umma kujitangaza kwa nguvu zote.
3. Vile samia hana network huku Tanganyika na pia anataka urais 2025 hivyo hataki kuendelea kuharibu zaidi so ndio maana hataki kusimamia makusanyo ya kodi ya ndani ili asije kuwakwaza wapiga kura, anaamua kukopa tu.

4. Tanganyika Samia vile hana network anategemea waliomzunguka ambao ndio wazee wa deal kina Manywele, Field Marshal mchumi daraja la kwanza, na wengineo wamsaidie. Hapo ndio kosa lilipo.

5. Hadi Samia aje amalize 2030 hii nchi itakua fucked up, tutakua na zigo la madeni yasiyobebeka. Imagine kaingia 2021 deni liko 54T leo miaka 3 liko 92 trilioni. Wastani wa trilioni 1.2 kwa mwezi kukopa.

6. Samia akimaliza muda wake atarudi kwao Zanzibar, zigo la deni tutabakia nalo Tanganyika. CCM wao hilo they don't give a fck as long as wao wanachotaka ni kuongoza serikali.

7. Muda ni mwalimu mkuu, lets wait and see.
 
Nakuunga mkono hoja yako ni sahihi ila ni tofauti na hii. Iwe separated na hii ya sasa.
 
Hii hoja uliileta kwa mara ya kwanza tarehe 18 April 2024 ila ni wachache waliichangia. Leo umeifufua tena na naona wengi wameichangamkia. Ni jambo jema kabisa. Vyeti feki ni janga linaloitafuna nchi yetu Tanganyika na linatokana na tabia ya watawala wenyewe kulifumbia macho kwa sababu ya UONGO for cheap political gains. Viongozi wengi ni WAONGO. UONGO mpaka kwenye nyumba za ibada. UONGO mpaka kwenye chaguzi na maandalizi yake. UONGO kila mahali. Waache UONGO ndipo wataweza kupambana na janga hili la vyeti feki wakafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…