Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Katika hotuba yake siku ya Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan amesemq vyombo vya habari sio mshindani wa serikali bali ni mshirika wa serikali.
Amesema kwa kipindi 'Hicho' kulikuwa na ushindani lakini hatukuweza kufika pazuri. Lakini sasa kama nchi tuko vizuri kwa kuwa vyombo vya habari vinaonekana sio mshindani tena bali ni mshirika wa serikali.
Rais ameshukuru vyombo vya habari nchini kwa kazi nzuri wanayoifanya kama wakati wa Janga lililotokea Hanang pia wakati wa Elnino.