nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
We bwege mi siyo nyumbu km wewe. Usinitafutie ban we mbwa kokoLow, very low IQ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bwege mi siyo nyumbu km wewe. Usinitafutie ban we mbwa kokoLow, very low IQ
Sativa aliahidi kumalizana nao mwenyewe kama hawatachukuliwa hatua. Tunasubiria matokeo ya kazi yake...wakati unamuuliza Rais, kwamba Soka yuko wapi, Edson Mwakabela(Sativa) alitekwa kwa lengo la kuuawa, Mungu ni mwema akamnusuru..Sativa ameeleza hatua kwa hatua alivyotekwa..watu waliotakiwa kushikiliwa na kuhojiwa ni wale madalali waliomtafutia nyumba Sativa na hatimaye kutumiwa na watekaji kumlaghai ili wamkamate, wapo na amewataja majina yao, pili Sativa ametaja maofisa wa Polisi kwa majina..utekaji wa Soka unafanana na ule wa Sativa, sasa km Rais ameshindwa kuagiza waliotajwa kumteka Sativa wakamatwe na kuhojiwa..hili la Soka atalipa uzito? Hawezi kuchukua hatua kwa watu waliotajwa na wanajulikana, ije hao wa Soka wamwambie walipompeleka? Sidhani..!