Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kitengo cha Ukaguzi wa Ndani bado hakiko vizuri na ndio sababu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hukutana na matatizo mengi
Amesema baadhi ya wakaguzi wa ndani hushirikiana na watu wa manunuzi ili kujua mbinu za kuchepusha fedha za serikali
Amemtaka Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kukisimamia vyema kitengo cha wakaguzi wa ndani