Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
nini tafsir ya hiyo kauli ya SSH?Rais Samia Suluhu Hassan amesema kitengo cha Ukaguzi wa Ndani bado hakiko vizuri na ndio sababu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hukutana na matatizo mengi
Amesema baadhi ya wakaguzi wa ndani hushirikiana na watu wa manunuzi ili kujua mbinu za kuchepusha fedha za serikali
Amemtaka Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kukisimamia vyema kitengo cha wakaguzi wa ndani
Ni katiba unasema hii nchi ni ya kidemokrasia au kidikteta??nini tafsir ya hiyo kauli ya SSH?
kama ameshagundua kwamba wakaguzi wanasababisha upigaji kwanini wasiunde tume ya kuwachunguza hao washukiwa?
unda tume iwachunguze, ikionekana kama wao ndio chanzo cha upigaji unawawajibisha haraka iwezekanavyo
hii nchi haitakiwi iongozwe ki politics, ukitaka kulela siasa hii nchi itakushinda
nchi hii inatakiwa kuongozwa kidikteta
Tzn hapa kupambana na wizi ni Kazi ngumu Sana maana watu sio waadilifu..Rais Samia Suluhu Hassan amesema kitengo cha Ukaguzi wa Ndani bado hakiko vizuri na ndio sababu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hukutana na matatizo mengi
Amesema baadhi ya wakaguzi wa ndani hushirikiana na watu wa manunuzi ili kujua mbinu za kuchepusha fedha za serikali
Amemtaka Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kukisimamia vyema kitengo cha wakaguzi wa ndani
Hizi nchi zetu kuna mahali tumekwama sana. Sasa kama unasema mwendazake alikuwa mtendaji, lakini CAG aligundua upotevu wa 1.5 trillion. Na akaambiwa asiseme, aliposema akastaafishwa.Mama anamaneno mengi utendaji zero
Rais Samia Suluhu Hassan Nchi inaelekea kukushinda. Ukifika 2025 kabidhi CCM nchi yao Wewe kachunge mbuzi Mkoa wa Kusini Unguja.Rais Samia Suluhu Hassan amesema kitengo cha Ukaguzi wa Ndani bado hakiko vizuri na ndio sababu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hukutana na matatizo mengi
Amesema baadhi ya wakaguzi wa ndani hushirikiana na watu wa manunuzi ili kujua mbinu za kuchepusha fedha za serikali
Amemtaka Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kukisimamia vyema kitengo cha wakaguzi wa ndani
Tukibadili hiki CHAMA Dola, labda tutapata dawaTzn hapa kupambana na wizi ni Kazi ngumu Sana maana watu sio waadilifu..
Licha ya kujengwa ukuta melerani lakini madini yalitoroshwa..
Licha ya kuweka wajeshi bandari ya Dar bado upigaji ulikuwa pale pale na inefficiency juu..
Hebu ona hapa yaani bila Waziri hakuna mtu angestuka na Takukuru wapo na wengine wapo pia 👇
Chama mbadala ndio kipi?Tukibadili hiki CHAMA Dola, labda tutapata dawa
Kitazaliwa na KATIBA mpya. AmenChama mbadala ndio kipi?
Atachukua hatua gani na hana analolifahamu zaidi ya kuwategemea wasaidiz wake ambao nao washamjua kwamba ni mtupu ndio maana wanaendelea kutafuna pesa za walipa Kodi,awamu ya maagizo na maelekezo bila kuchukua hatua
Maza mjanja sn alipoona watu wamekomalia report ya CAG akaanzisha maigizo ya royal tour watanzania wote tukasahauRais Samia Suluhu Hassan amesema kitengo cha Ukaguzi wa Ndani bado hakiko vizuri na ndio sababu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hukutana na matatizo mengi