johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya
Source ITV
======
“Najua miaka iliyopita kuna kipindi maalumu ilikuwa ni lazima mashirika yatoe dividends (gawio) na kwa sababu yalikuwa haya- perform wengi wenu mlikuwa mnaingia mabenki huko mkakopa, mkaingia wapi huko... mkakopa ilimradi unalinda kibarua chako,”
“Unapeleka check tarehe fulani... check hii hapa shirika limechangia lakini kumbe uzalishaji ni zero, kwa hiyo muende mkasimamie mashirika yazalishe,”