Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

Ninachoangalia ni ufanisi tu,
Maendeleo yalionekana kipindi cha JPM ama hiki,
Maneno ama viswahili vyenye konakona nyingi havinisaidii hvy Sina umhimu navyo.
Huko mbeleni tutaelewa km tuko njia sahihi ama la.
Mwendazake alikua mtu muongo.
 
What if magufuli alitoa amri wakope ili wapate rejesho?
Natafuta lile tangazo la msajili wa hazina liliwapiga marufuku wakurugenzi kukopa pesa kwenye benki za kibiashara kipindi cha Magaufuli, nikilipata nitaleta hapa ili tuone nani ni muongo
 
kwamba kwa sasa rais unatakiwa kila shirika lifanye kazi kwa faida na litowe gawio bila kukopa bank.

'kwa hiyo muende mkasimamie mashirika yazalishe,”
sauti isiyo kuwa na mammlaka.
Ndo sauti ya mwanadamu aliye na utimamu na busara

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao...
Muongo huyu. Angetaja mashirika yaliyofanya hivyo kukopa benki ili kutoa gawio. Uwezekano hao ma ceo huenda hata walichangishana management na board zao maana ni wao ndio wanagawana faida ya shirika.

Yeye anachotakiwa sio kuonesha kupuuza kwa mtangulizi wake kuwabana vigogo wa mashirika ila kuwabana na kutimua board na management zinazoshindwa kuleta faida.
 
Serikali imetoa mtaji kwa mashirika ya umma, hivyo mashirika yanatakiwa kutoa Gawio kwa Serikali, JPM alikuwa sahihi kwa asilimia 100.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unabisha sasa
 
Ukiona hivyo jua ameshindwa kuyasimamia. Tunajua mashirika ta umma ndio vyanzo vikuu vya upigaji. Zamani tanesco iliishia kulipa makampuni ya mafuta na umeme capacity charges zaidi ya bill 700 kwa mwaka. Magu akaondoa huo ujinga. Shirika likaanza kujiimarisha hadi kufungua kiwanda cha kutengeneza nguzo za zege na kujiuzia. Leo tena wamerudi kule kule. Wanataka kuagiza nguzo za miti nje.

Maza anafeli sana. Haya ripoti ya CAG imeonyesha wapi mashirika yalikuwa yanakopa pesa benki? Na yalikuwa yanalipaje? Hadi sasa ni mashirika gani yanadaiwa na mabenki? Kiasi gani.?

Mama anaingizwa chaka na wapigaji ili wapuge hela, nae kwa kuwa sio mfuatiaji anapokea tu.
 
Halafu Magufuli asijue kama wamechukuwa hela ktk central Bank ? Raisi yuko karibu na Gavana wa Benki anakuwa briefed kila kinachoendelea, asiambiwe kama shirika xyz limekopa ?
Hivi ni wananchi sisi ndio vilaza au wawasilisha ujumbe ndio vilaza?
 
 

Attachments

  • CB9643F1-5E3E-4A4B-A256-024DBBA6F1EB.jpeg
    16.1 KB · Views: 5
Noma kweli !
 
Enzi hizo tulilishwa Matango pori sana
 
Huyu mama anatetea sana mashirika na wawekezaji.
Sijui kama ataweza kujenga nchi kwa kutegemea tozo za wananchi wanyonge!
 

Ni htr yaan asa hapo ndo vibosile wa mshitika ndo unawasikia et mama anaupiga mwingi du??
 
Hahahaaaa kuiharibu legacy ya mtu kunahitaji roho ngumu sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…