Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

Mkuu kwa uelewa wangu ni kwamba ma meneja walikopa wao binafsi ama sikuelewa mimi!
Ni ngumu ndugu yangu, Rais wamemdanganya. Kwa kawaida kila shirika la umma linamakusanyo, kilichofanyika ni kuchukua sehemu za hayo makusanyo na kupeleka gawio serikalini. Na hiyo iko accounted mpaka kwenye vitabu vya hesabu za serikali.
 
Ujumbe umeelewa. Kumsakama Marehemu haisaidii kuipeleka mbele nchi wala kuwafurahisha waja
Uzingatie kuwa jukumu la maamuzi ya nchi hii halipo kwa marehemu lipo kwa walio hai hivyo Kama kuna makosa yatakosolewa na kurekebishwa bila kujali hisia za wanaowakumbuka marehemu.
 
Nakazia pale kwenye marehemu hawana madhara wala maamuzi ya hii nchi.
 
Records ziko wapi? Unaweza tu kukopa hela Central bank bila ya records zozote mahali na jinsi ya kuzirudisha? Na kama ni kweli kwamba walikuwa wanakopa ktk central Bank ili kumfurahisha Magufuli, je raisi Magufuli angeweza kutoligundua/kuambiwa hilo? I mean, huyo mtu sijui tu kwa kweli kwa maana dah!
Atcl ilitoa dividend hata ilipokuwa inaingia hasara ya bilioni tisa kwa mwezi, CAG aliweka hilo wazi kwenye report yake!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe umeelewa. Kumsakama Marehemu haisaidii kuipeleka mbele nchi wala kuwafurahisha waja
Nakazia pale kwenye marehemu hawana madhara wala maamuzi ya hii nchi.
 
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao

Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya

Source ITV

======

“Najua miaka iliyopita kuna kipindi maalumu ilikuwa ni lazima mashirika yatoe dividends (gawio) na kwa sababu yalikuwa haya- perform wengi wenu mlikuwa mnaingia mabenki huko mkakopa, mkaingia wapi huko... mkakopa ilimradi unalinda kibarua chako,”

“Unapeleka check tarehe fulani... check hii hapa shirika limechangia lakini kumbe uzalishaji ni zero, kwa hiyo muende mkasimamie mashirika yazalishe,”
View attachment 2311657
Amesema rubbish! Rais anapofahamu hayafanyi vizuri kwa nini hachukui hatua? Au bado anaondoa kundi la JPM. Tutarebua kwa miaka mingi kabla ya kujua kuongoza nchi.
 
Atcl ilitoa dividend hata ilipokuwa inaingia hasara ya bilioni tisa kwa mwezi, CAG aliweka hilo wazi kwenye report yake!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ATCL> Nyingine ni ipi? au unatafutwa wastani kwa kutumia shirika moja tu! Kama rais wetu ni elimu ya hapa na pale, Watanzania tusijiweke kundi hilo.
 
Siyo swala la kuabudu, ni logic ya kawaida tu, Central Bank hawafanyi kazi kienyeji kama ni kweli walikopa fedha kama hata hilo linawezekana sijui ni lazima raisi angejua!
Ukiwa mkubwa hutoshangaa
 
Huna akili.
Mkataba unataja mshahara wangu na stahiki zingine.
Posho na mshahara vyote ni haki yangu.
Heri yule mwehu kafa, alituharibia nchi yetu .
Pambafu ...zako posho ndio stahiki zuzu sana wewe
 
Na wewe unaamini huu uongo ? ,CEO wa shirika la umma akope zaidi ya 1 billion aliweka Nini huko Bank Kama dhamana, na Jiwe asijue ? Na Kama kweli walikopa while shirika linapata loss pesa ya kulipa ilitoka wapi
Kwa hiyo samia anadanganya?
 
Siyo swala la kuabudu, ni logic ya kawaida tu, Central Bank hawafanyi kazi kienyeji kama ni kweli walikopa fedha kama hata hilo linawezekana sijui ni lazima raisi angejua!
Je kama alijua lakini akakaa kimya ili apate sifa za kisiasa?
 
Hapa mama kazingua sana, huu ni uongo wa mchana kweupe.
Tokea magufuli alaiposema miradi mikubwa inajengwa kwa fesha za ndani nikajua ni msanii.. wenda samia yuko sahihi maana magu alikua msanii
 
Records ziko wapi? Unaweza tu kukopa hela Central bank bila ya records zozote mahali na jinsi ya kuzirudisha? Na kama ni kweli kwamba walikuwa wanakopa ktk central Bank ili kumfurahisha Magufuli, je raisi Magufuli angeweza kutoligundua/kuambiwa hilo? I mean, huyo mtu sijui tu kwa kweli kwa maana dah!
Hao wakuu wa mashirika walioliingiza taifa hasara kwa mikopo ya kificho ili kulinda maslahi yao binafsi washitakiwe kwa wahujumu uchumi. Tena wafunguliwe kesi ya kuidanganya Taasisi ya urais.
 
Back
Top Bottom