Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Eti 2025 ndo Rais wa kike atachaguliwa. Mbona anajihakikishia sana. Hapo ndo utajua CCM huwa haitegemei kura za wananchi, bali wanakuwa na matokeo yao tayari.
Leo ndo unalijua hilo ndugu? Kuna mwanaCCM mmoja aliwahi nukuliwa alisema kuwa ushindi kwao hainaga cha Mungu akipenda mana kwao Mungu apende hasipende ushindi kwao uhakkika.
 
Maza aliingia kwa mkwara mzito akawaambia tena nyie wa mifuko ya jamii ninatenga Muda wa kuwashughulikia maana huko 'kumeoza' basi wastaafu wakapata moyo.laah kumbe Hangaya na Magu Ni wale kwny mafao ya wastaafu.Tofauti mmoja Ni wa kike mwingine Ni wa kiume.Hana msaada.
 
its too early for to start comitting herself to 2025/2030.

anayo mengi ya kuyafanya kwanza..kabla ya kuanza kutupa mlengo wake wa miaka ijayo katika siasa.
Huyu mama ni Mwepesi sana kuliko wengi wanavyofikiria, hivi viatu hamvitoshi. Mwl Nyerere aliwahi kusema ukiwa na akili timamu Ikulu siyo sehemu ya kukimbilia, Kuna mambo mengi magumu taifa linapitia kwa sasa kiasi kwamba mtu huwezi kutoa kauli ya namna hiyo hata kama una ambitions ya kuitaka nafasi hiyo (inaonekana akili yake haija-absorb changamoto za taifa hili ndiyo maana anaona hii nafasi ni nyepesi). Nawaza tu kwa sauti kuwa inawezekana hata hawa wanaosema Mama anaenda vizuri, pengine wanajua fika jinsi anavyokoroga mambo huko ndani. Nadhani muda ni mwamuzi mzuri kwenye hili.
 


Kuongozwa na Ndugu kunatokea kwa bahati, Ila kuongozwa Dkt. kunakuja kwa mipango, kwa hiyo hatuwezi kukubali kuongozwa na Ndugu.
 
Nani atamchimba huo mkwara?Kama Mbowe tu kudai tu Katiba mpya kapigwa ugaidi je atakaehoji khs mambo hayo mengine si atapigwa na RPG?
 
Huu ni uongo, kama anataka kuweka tozo sawa ilikuwaje akasaini ule muswada? Hakuusoma?
Kuhusu mafuta kupanda duniani ni uongo mwingine huo,maana unakumbuka mwezi huu walipandisha mafuta kwa kusema yamepanda huko duniani, baadae wakasema tunayashusha. Sasa wamewezaje kushusha Bei ya Mafuta ikiwa duniani yamepanda?
 
Mama akigombea ushindi wake utakuwa wa kishindo cha kihistoria. Ataanzia pale magufuli alipoishia. Sasa yeye anatakiwa akwangue hata kile kimoja kiti walichobahatisha huku bara wale majamaa
 
Mama akigombea ushindi wake utakuwa wa kishindo cha kihistoria. Ataanzia pale magufuli alipoishia. Sasa yeye anatakiwa akwangue hata kile kimoja kiti walichobahatisha huku bara wale majamaa
Na akishakitwaa hicho kimoja tozo zitaisha kabisa,zahanati zitajengwa kila sehemu na sukari itashuka Bei nchi.Safi
 
kiti cha urais hakika ni kitamu sana lkn kuendeleea kuwa na ccm madarakani mpk 2030 litakuwa kosa kubwa tutarajie zaidi kuongezeka kwa tozo kila mahali
 
Na akishakitwaa hicho kimoja tozo zitaisha kabisa,zahanati zitajengwa kila sehemu na sukari itashuka Bei nchi.Safi
Strength of woman shaggy alishasema..nina imani na mama. Hayo yote uliyosema yatawezekana iwapo tutachapa kazi katika sekta zote kuongeza tija na pato la taifa. Mama atatoa uongozi na dira jinsi ya kufikia hayo matamanio ya nchi
 
Huyu mama namkubali sana na ikiwezekana atawale hadi mwisho jla namshauri aacha hzi za kuwa jibu wenye uchu was madaraka, ni mapema sana kikubwa apige kazi asiwe na asiwasi ye ndo mwenyekiti was chama na ndo Amiri jeshi mkuu..
Si Mabaharia tunawajibu kimyakimya washakunaku waandikao magazeti kama hayo, kazi yetu ni kuwapelekea moto tu kimyakimya hatunaga mda wa kubishana nao kwa maneno.
 
Urais Ni raha Sana,jiwe mwenyewe alikuaga anazuga eti kazi hii Ni ngumu Sana mpk najuta.Ulipofika Muda wa kampeni ye ndo wa Kwanza kupiga magoti akiomba kura.
Sio yeye tu hata huyu anamuendesha bi mkubwa, hataki kuitwa mstaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…