Rais Samia wanakuhujumu kwenye umeme na maji uonekane hufai

Rais Samia wanakuhujumu kwenye umeme na maji uonekane hufai

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Mara baada ya kumuondoa maharage wapambe wake wanazima umeme na maji hayasukumwi kwa baadhi wa wananchi. Kisimngizio pressure/msukumo mdg?

Screenshot_20230923-225438.jpg


Kinyerezi Kanga ipo sintofaham wanakuhujumu mh rais ili Uonekane hufai, hawasambazi maji wanayafunga makusudi wanadai msukumo mdogo.

Watanzania wa ajab sana.

Kiufupi wanataka usiaminike. Waondoe dawasa kinyerezi Wala rushwa.

Aweso kama upo liangalie hili kabla ya mama
 
Back
Top Bottom