Rais Samia: Watu waanze kununua maji kwa jinsi wanavyotumia, na hununui kwa Aweso unanunua kwa mashine

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,
Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji, Rais Samia ameagiza kuanzishwa kwa mfumo wa kidijitali utakaowawezesha watumiaji wa maji kulipia huduma hiyo kulingana na matumizi yao.

Kupitia mfumo huo, wananchi watahitajika kulipia maji kabla ya kuanza kuyatumia kwa kutumia mashine maalum.

"Tulipe maji kwa jinsi tunavyotumia. Mi nimefurahia katika teknolojia nilizoziona kule kwenye maonesho ziko zile ambazo kabla hujatumia maji unalipa kwanza, unatumia maji jinsi ambavyo ulivyolipa na hilo ni agizo nadhani la mara ya nne leo Waziri, nafurahi kwamba mmelianza kulifanyia kazi, mmeanza kuisambaza hiyo teknolojia lakini nimeona wabunifu wengi pale nje katika hilo"

"Fanyeni nao kazi teknolojia isambae mtu alipe maji sio jinsi anavyotumia, anunue maji tuseme na hanunui kwa Aweso ananunua kwa mashine, mashine haina urafiki wala huzungumzi nayo"

Hizi Mita za "Luku" aka lipa kadri unavyotumia, zilianza kutengenezwa na Watanzania wenye ubunifu wa teknolojia hiyo kitambo. Kwa bahati mbaya sana hadi sasa bado hata Wizara husika haijawatambua na kuwapa walau tenda ili wazitengeneze kwa wingi. Sana wanaishia kwenye maonesho tu na baada ya hapo hakuna kinachoendelea. Nionavyo mimi wahusika wanasubiri ili waweze kuweka tenda za uzabuni kimataifa ambazo wanafaidika kwa kiasi fulani kuliko kuwapa wananchi wabunifu kazi hiyo. Kwanza kwa kufanya hivyo tunaua ubunifu wetu wenyewe na pili tunapata hasara katika mambo ya ununuzi wa kimataifa. Suala hili limeshazungumzwa mara nyingi sana lakini hakuna hatua madhubuti iliyokwisha chukuliwa. Tunasubiri kwa hamu sana tuone mwaka huu wa uchaguzi nini kitakachofanyika.
 
Huyu bibi kaishiwa pesa zote anataka advance,yaani ameua serikali kifedha anataka advance,hell no
 
Wakuu,
Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji, Rais Samia ameagiza kuanzishwa kwa mfumo wa kidijitali utakaowawezesha watumiaji wa maji kulipia huduma hiyo kulingana na matumizi yao.

Kupitia mfumo huo, wananchi watahitajika kulipia maji kabla ya kuanza kuyatumia kwa kutumia mashine maalum.

"Tulipe maji kwa jinsi tunavyotumia. Mi nimefurahia katika teknolojia nilizoziona kule kwenye maonesho ziko zile ambazo kabla hujatumia maji unalipa kwanza, unatumia maji jinsi ambavyo ulivyolipa na hilo ni agizo nadhani la mara ya nne leo Waziri, nafurahi kwamba mmelianza kulifanyia kazi, mmeanza kuisambaza hiyo teknolojia lakini nimeona wabunifu wengi pale nje katika hilo"

"Fanyeni nao kazi teknolojia isambae mtu alipe maji sio jinsi anavyotumia, anunue maji tuseme na hanunui kwa Aweso ananunua kwa mashine, mashine haina urafiki wala huzungumzi nayo"

Huyu naye hii mara ya nne sasa anaongea, kwa nini haianzi??? Maneno mengi vitendo hakuna.
 
Hizi Mita za "Luku" aka lipa kadri unavyotumia, zilianza kutengenezwa na Watanzania wenye ubunifu wa teknolojia hiyo kitambo. Kwa bahati mbaya sana hadi sasa bado hata Wizara husika haijawatambua na kuwapa walau tenda ili wazitengeneze kwa wingi. Sana wanaishia kwenye maonesho tu na baada ya hapo hakuna kinachoendelea. Nionavyo mimi wahusika wanasubiri ili waweze kuweka tenda za uzabuni kimataifa ambazo wanafaidika kwa kiasi fulani kuliko kuwapa wananchi wabunifu kazi hiyo. Kwanza kwa kufanya hivyo tunaua ubunifu wetu wenyewe na pili tunapata hasara katika mambo ya ununuzi wa kimataifa. Suala hili limeshazungumzwa mara nyingi sana lakini hakuna hatua madhubuti iliyokwisha chukuliwa. Tunasubiri kwa hamu sana tuone mwaka huu wa uchaguzi nini kitakachofanyika.
Umeongea kwa machungu sana, na uko sahihi kule Mbeya(MUST) na Arusha Technical wanazionesha kwenye maonesho tuuu. Na kuhusu kuongea hili limezungumzwa si chini ya mara nne. Ila utekelezaji wake ni sifuri.
 
Nashangaa sana hii nchi kua na hili tatizo na tuna bahati nchi zima imezungukwa na maziwa makubwa na bahari na mito karibu kila mkoa.
 
Mukimaliza hii tunataka muspply gas ya mtwara majumbani.
Hilo ni fupa gumu sababu hawataki pesa isambae wanataka watu wateseke sasa karma ina tabia mbaya,uchaguzi umefika hajapata ahadi ya kumpaisha hata Moja matajiri hawamuelewi,wanamuona kama nightmare,na yeye anachota pesa kumpeleka.kizmkazi,haki kama kama haki hakuna.
 
Acheni kutuimbisha kila siku.
Maji yepi tunazungumzia? Haya ya matope au
 
Back
Top Bottom