McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa Ilani ya CCM 2025 ameonya wale watu ambao wanaenda majimboni na kuanza kusema kuwa wametumwa na Rais Samia pamoja na Mwinyi ili waweze kupitishwa na wajumbe kama wagombea wa CCM.
Rais Samia amesema kuwa yeye na Mwinyi hawajatatuma mtu yeyeote kwenda kuchukua fomu ya Ubunge na kwamba mtu yeyote atakayesema kuwa ametumwa na Rais ili aweze kupitishwa anatakiwa kukatwa mara moja