saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Kwani anakuaga wapi?Ndg zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana
Hoja yako imekosa busara sana. Suala la mwanamke na uongozi linakujaje? Huyu ni Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu usimwite majina yasiyo na heshima ndugu. 🙏🙏🙏Ndg zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani rais ana likizo? Na km ni
Sawa SawaMWANASHERIA WANGU YUPO LIKIZO NGOJA NIPITEKIMNYAKIMNYA.
Mafuta Yameongezeka kwa Mia 4Ndg zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana
Wakati wa Nyerere na waliomfuatia nasikia kulikuwa na matatizo zaidi ya upungufu wa madawa na mafuta jee hao nao walikuwa wanawake wa kiswahili.Ndg zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani rais ana likizo? Na km ni ndio kwanini uarabuni. Huyu
Mafuta nayo yakiongezeka bei lawama mnampa raisi?.Kwani Tanzania tuna visima vya mafuta.Mafuta Yameongezeka kwa Mia 4
Masahihisho,Ndg zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani rais ana likizo? Na km ni
Kuna tozo nyingi mno kwenye mafuta, hilo ni chanzo kikuu cha bei kubwa ya nishati hiyo.Mafuta nayo yakiongezeka bei lawama mnampa raisi?.Kwani Tanzania tuna visima vya mafuta.
KaelewekaJaribu kuandika Vizuri Mkuu
Wanawake hawafai kuongoza ni asilimia chache sana kulinganisha na wanaumeHoja yako imekosa busara sana. Suala la mwanamke na uongozi linakujaje? Huyu ni Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu usimwite majina yasiyo na heshima ndugu. [emoji120][emoji120][emoji120]
Upungufu wa madawa na mafuta na vitu vinginevyo vilisababishwa na ukosefu wa fedha za kigeni baada ya vita na Iddi Amin wa Uganda !!Wakati wa Nyerere na waliomfuatia nasikia kulikuwa na matatizo zaidi ya upungufu wa madawa na mafuta jee hao nao walikuwa wanawake wa kiswahili.
Kilichofuatia ni kuvaa Kaniki na Katambuga za matairi hali ilipokuwa ngumu zaidi akang'atuka!Upungufu wa madawa na mafuta na vitu vinginevyo vilisababishwa na ukosefu wa fedha za kigeni baada ya vita na Iddi Amin wa Uganda !!
Mwalimu alikataa kushusha thamani ya pesa ya Tanzania ili akopeshwe fedha za kigeni na IMF !!