Rais Samia yuko wapi?

Rais Samia yuko wapi?

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?

Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.

Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.

Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
 
Ndg zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani rais ana likizo? Na km ni
Hoja yako imekosa busara sana. Suala la mwanamke na uongozi linakujaje? Huyu ni Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu usimwite majina yasiyo na heshima ndugu. 🙏🙏🙏
 
Ndg zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani rais ana likizo? Na km ni ndio kwanini uarabuni. Huyu
Wakati wa Nyerere na waliomfuatia nasikia kulikuwa na matatizo zaidi ya upungufu wa madawa na mafuta jee hao nao walikuwa wanawake wa kiswahili.
 
Nimeona humu jamii forum atakuwa mgeni rasmi siku ya kilele cha sikukuu ya wakulima nanenane Mbeya.
 
Hoja yako imekosa busara sana. Suala la mwanamke na uongozi linakujaje? Huyu ni Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu usimwite majina yasiyo na heshima ndugu. [emoji120][emoji120][emoji120]
Wanawake hawafai kuongoza ni asilimia chache sana kulinganisha na wanaume
Wanawake hawajiamini kabisa kabisa
Hawana uwezo wa kuwa waamuzi wa mwisho
 
Wakati wa Nyerere na waliomfuatia nasikia kulikuwa na matatizo zaidi ya upungufu wa madawa na mafuta jee hao nao walikuwa wanawake wa kiswahili.
Upungufu wa madawa na mafuta na vitu vinginevyo vilisababishwa na ukosefu wa fedha za kigeni baada ya vita na Iddi Amin wa Uganda !!

Mwalimu alikataa kushusha thamani ya pesa ya Tanzania ili akopeshwe fedha za kigeni na IMF !!
 
Upungufu wa madawa na mafuta na vitu vinginevyo vilisababishwa na ukosefu wa fedha za kigeni baada ya vita na Iddi Amin wa Uganda !!

Mwalimu alikataa kushusha thamani ya pesa ya Tanzania ili akopeshwe fedha za kigeni na IMF !!
Kilichofuatia ni kuvaa Kaniki na Katambuga za matairi hali ilipokuwa ngumu zaidi akang'atuka!
 
Back
Top Bottom