Rais Samia yuko wapi?

Ameenda kumsalimi mjomba yakheeee
 
Amekwenda kutayarisha mikataba ya uchimbaji mafuta, yaani lazima mtamuelewa tu.
 
Isije ikawa yale yaleeee,ilianza hivi hivi mara paaap Mola katoa hukumu yake
 
Presha imepanda alizani itakuwa siri kuwauza watanganyika kwa waarabu ili wampatie fedha za kuhadaa mazuzu wakati wa kampeni. Usaliti haujawahi muacha mtu salama ni dhambi mbaya sana.

Angekuwa na busara angeng'atuka tuu kulinda kaheshima kadogo kalikobakia ila uroho wa madaraka atajifanya haoni soni mpka Watanganyika wamtupie virago.
 
Kwamba wodi zimefungwa kisa hakuna dawa? You must be crazy 😧😧😧😧!!!!
 
Wanawake hawafai kuongoza ni asilimia chache sana kulinganisha na wanaume
Wanawake hawajiamini kabisa kabisa
Hawana uwezo wa kuwa waamuzi wa mwisho
Mama kumbuka ndio kiongozi wa kwanza alokuongoza ulipozaliwa mkuu wanawake wangekuwa hawafai angekuongoza kutenda mabaya pengine usingekuwa hapa leo ulivyo ,wapo wanawake wanaweza wakiwezeshwa
 
Wivu tu.
 
Tulia kama tulia A
 
Madam President atakuwa Likizo, si unajua upepo wa Bandari hauvumi vizuri upande wa Magogoni.

Msubirie kumwona Jumanne Ijayo wakati wa kilele cha Sikukuu ya Wakulima pale Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…