Rais Samia yuko wapi?

Rais Samia yuko wapi?

Ndg zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani rais ana likizo? Na km ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la urais? Bado anafanya mambo km wanawake wa kiswahili? Km ndivyo nchi itamshinda. Tunaambiwa wafa yabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30. Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo. Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na waziri wa afya yuko likizo? Hao ndio wanawake na uongozi.
Wewe unaona mafuta hakuna , sasa unataka alale badala ya kuhemea chakula cha Wana Tz
 
Ndg zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani rais ana likizo? Na km ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la urais? Bado anafanya mambo km wanawake wa kiswahili? Km ndivyo nchi itamshinda. Tunaambiwa wafa yabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30. Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo. Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na waziri wa afya yuko likizo? Hao ndio wanawake na uongozi.
Usiwe na wasiwasi kaenda kutalii na kututafutia fursa watanzania
 
Hoja yako imekosa busara sana. Suala la mwanamke na uongozi linakujaje? Huyu ni Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu usimwite majina yasiyo na heshima ndugu. 🙏🙏🙏
Na hiyo ndio yako mtaani huku. Watu hawajawahi Amini kiongozi mwanamke. Na hawataki kusikia huyo Rais wako. Sasa ukweli ukisemwa muwe mnauchukua na kuuzingatia.
 
Ndg zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani rais ana likizo? Na km ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la urais? Bado anafanya mambo km wanawake wa kiswahili? Km ndivyo nchi itamshinda. Tunaambiwa wafa yabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30. Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo. Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na waziri wa afya yuko likizo? Hao ndio wanawake na uongozi.
Nchi imemshinda tayari, alifikiri kuongoza nchi ni kuimba ngonjera tu
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?

Bado anafanya mambo kama wanawake wa Kiswahili? Kama ndivyo nchi itamshinda. Tunaambiwa wafa yabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.

Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.

Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo? Hao ndio wanawake na uongozi.
UNAKUMBUKA TULIPO ULIZA MAGUFULI YUPO WAPI WALIVYOTUJIBU?
 
Kusema kama mwanamke wa kiswahili nini maana yake ? Yaani nyie CHADEMA ni watovu wa adabu kabisa ,mnaidharau jamii ya wanawake hapo.
 
Back
Top Bottom