Rais Samia yuko wapi?

Rais Samia yuko wapi?

Madam President atakuwa Likizo, si unajua upepo wa Bandari hauvumi vizuri upande wa Magogoni.

Msubirie kumwona Jumanne Ijayo wakati wa kilele cha Sikukuu ya Wakulima pale Mbeya.
Case ya kikatiba pia itakuwa imeamuliwa 7/8/2023.

Akishinda Tanganyika na Mwambukusi, usitegemee kumwona Mbeya.
 
Pemba kaenda kurenew mizizi.

Msubirini kwenye maadhimisho ya nane nane atakuja na kila mkwara na kejeli. Mkitoka hapo mtakuja kuimba mapambio mama anaupiga mwingi, kumbe ni nguvu ya ubani.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?

Bado anafanya mambo kama wanawake wa Kiswahili? Kama ndivyo nchi itamshinda. Tunaambiwa wafa yabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.

Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.

Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo? Hao ndio wanawake na uongozi.
Bilioni 300 zatumika kumsifia
 
We jombaa unataka Rais aonekane Kila saa kwa Nini? Mbona we hatukuoni una fake ID!

Ila kuhusu uongozi na kinamama hapo nakuunga mkono na mguu! Kinamama kazi Yao ni kuleta watoto duniani na kuwalea, hii mambo ya uongozi si yao, ukimpinga kitu inakuwa nongwa anachukulia personal na utamkoma!
 
Alitumwa agawe bure nchi yetu? Tutamuandama hadi ndotoni hadi akiri kuuza nchi na avunje mkataba
 
Wewe kwako yamepanda Kwa kiasi gani?
Ni zaidi ya uliyosema, elewa kuwa mafuta yanapanda kutokana na umbali, bei ya Mtwara haiwezi lingana na ya Tabora au Mbeya au Msoma nk
 
Mafuta nayo yakiongezeka bei lawama mnampa raisi?.Kwani Tanzania tuna visima vya mafuta.
Wewe unataka lawama vipewe visima vya mafuta?

Watu wengine sijui kwanini mna akili finyu kiasi hiki hata kushindwa kuhusianisha nafasi ya uongozi wa mtu fulani na majukumu yake ktk taasisi anayoiongoza..!!
 
Wanawake wanaujinga mwingi hawafai kupewa madaraka makubwa
Bashiru na Lukuvi Naona wanachekea chooni
Qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi

Kwani walionya hili baada ya kifo kileeee
 
Back
Top Bottom