ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mpendwa wetu Rais hajatokea kuzungumza au kuonyesha kukerwa na wale askari waliombaka Binti wa Yombo na kuhusishwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Yaani askari aliyeapa kuwalinda Watanzania Leo hadharani kwenye camera anabaka Mtanganyika mwenzetu, Bora hata angekuwa huko vitani anabaka. Waasi Sasa hawa Watanzania watalindwa na nani kama walinzi ndo wabakaji.
Pia, soma:
Natamani Rais atoke akemee na haya matukio ya askari kubaka na kiongozi wa polisi kutoa kauli ya kuishi ati aliyebakwa alikuwa kahaba, sio jambo zuri.
Najua Rais anawatuma wawakilishi kufanya kazi ila kauli yake itawatia moyo wana familia hawa.