Kipi kilicho kulizaNimelia Sana
Chura kiziwi inabidi tumwagie maji ya moto akaugulie kizimkazi atuachie Tanganyika yetu. Hatuwezi kuwa na rais asiyesikiliza matatizo ya watu wake ilihali kila siku uonevu na matukio ya kutisha yanazidi kuongezeka.Mpendwa wetu Rais hajatokea kuzungumza au kuonyesha kukerwa na wale askari waliombaka Binti wa Yombo na kuhusishwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama
Yaani askari aliyeapa kuwalinda Watanzania Leo hadharani kwenye camera anabaka Mtanganyika mwenzetu, Bora hata angekuwa huko vitani anabaka. Waasi
Sasa hawa Watanzania watalindwa na nani kama walinzi ndo wabakaji
Natamani Rais atoke akemee na haya matukio ya askari kubaka na kiongozi wa polisi kutoa kauli ya kuishi ati aliyebakwa alikuwa kahaba, sio jambo zuri
Najua Rais anawatuma wawakilishi kufanya kazi ila kauli yake itawatia moyo wana familia hawa
wakati anaingiziwaKipi kilicho kuliza
Lakini ni kawaida ya nchi hii kuelekea uchaguzi huwa kuna matukio mengi ya hovyo na viongozi hawajitokezi kuyakemeaMpendwa wetu Rais hajatokea kuzungumza au kuonyesha kukerwa na wale askari waliombaka Binti wa Yombo na kuhusishwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama
Yaani askari aliyeapa kuwalinda Watanzania Leo hadharani kwenye camera anabaka Mtanganyika mwenzetu, Bora hata angekuwa huko vitani anabaka. Waasi
Sasa hawa Watanzania watalindwa na nani kama walinzi ndo wabakaji
Natamani Rais atoke akemee na haya matukio ya askari kubaka na kiongozi wa polisi kutoa kauli ya kuishi ati aliyebakwa alikuwa kahaba, sio jambo zuri
Najua Rais anawatuma wawakilishi kufanya kazi ila kauli yake itawatia moyo wana familia hawa
Kuwa mstarabu kijana ukikaa kimya itakusaisia kuficha upumbavu wako.wakati anaingiziwa