Lini imeruka kwenda Sudan kuwarejesha watu wa Simba walioko huko? Yanga inaenda kuiletea taifa heshima (kombe), hao wa Sudan wanailetea nchi nini?[emoji38]
Hizo anazogundua CAG zimeliwa si bora mama aagize tu hizo taasisi kila moja itoe 1bl, naamini fleet nzima ya ATCL itaenda kupeleka watu na za kula hotelini zitapatikana hata na bahasha (posho) za washangiliaji zitapatikana pia kuliko zinavyopigwa na kuvushwa Offshore.