nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Ni kwamba Marehemu Satta,wazazi wake wana asili ya Tabora inaposemekana pia hadi leo pana hotel iitwayo Satta na ndugu zake wengine wapo huko.Inadaiwa hivyo jameni.
Alizaliwa 1937 lakini critics wakaendelea kudai alikuwa ana keep intouch na root yake huko Tanzania.
Kelele ziliongezeka sana juu ya suala hili haswa pale madai mapya yalipojitokeza kwamba katibu kiongozi wa Serikali ya Zambia wakati huo, Emannuel Mwamba alifoji jina siyo Mzambia ni Mtanzania ambaye wazazi wake walitorokea Zambia wakikimbia umaskini Tanzania,wapiga filimbi hao walidai jina lake ni Emannuel Gerri na sio Mwamba,jamaa alipoteza hiko cheo.
Ingawa reason kubwa ilikuwa vibali vya matangazo vilivyotolewa kwa radio na TV ,phoenix fm na muvi tv tatizo likiwa kwamba shares kubwa ni za wageni
Hata hivyo tayari hapo kulikuwa na fukuto kubwa kuhusu Utanzania wa Mwamba na Satta huku baadhi ya watu wa kitengo wakiwa na hasira sana juu ya hilo.
Inadaiwa nguvu fulani katika idara nyeti zilifanya yake na Mr Satta alianza kupata matatizo ya kiafya haswa moyo hadi alipofariki jijini London na Rais Edgar Lungu aka-take over wakati huo huo Mr Mwamba alionekana ana nia ya kugombea Uenyekiti wa Patriotic Front chama tawala akapigwa mkwara mkubwa sana akubali kuchukua cheo cha ubalozi wa Zambia huko South Africa ama laa.
Ni fununu na madai tu,msitokwe na mapovu ya kufulia nguo hapa
marahemu Michael Satta na Emanuel Mwamba(Gerri)