Witmak255
JF-Expert Member
- Feb 5, 2019
- 3,264
- 5,419
Hivi Hawa wanawatreat vipi Hawa watu?Kweli mkuu,Marekani huko jeshini kuna watu wana majina ya Kina Kimario na wakujaga likizo bongo kama kawa na wana vyeo tu,wachina ni wapinzani wa USA lkn wachina wako wengi tu huko kwny US Army.
Wahindi mpk wasomali wengine ni ma-senator kama Ilhan Abdullahi Omar lkn kwny shithole countries ndo wanamaind vitu vya dizaini hii.